Manual na Automatic

Manual na Automatic

achana na magari ya rally brother maana hayapo sawa na gari zetu hizi za kawaida ndio maana sio kila gari inashiriki!!
chukua homework 50miters weka defender hapo weka harrier hapo unahisi hadi unamaliza hizo mita difenda itamaliza na speed kiasi gani na harrier speed kiasi gani?
bro acha ubishi utaonekana bado lena, sikuzote manual inawahi kuchanganya hata manufacture wanajua hilo
 
Kwa magari makubwa kama Nissan na Land Cruiser Manual ndio safi sanaa S ila gari ndogo zote Automatic Transmission is ok.
 
Mara ya mwisho kuendesha manual ni wakati nipo driving school miaka hiyo,
Ni mwendo wa Automatic tu na sijui kama ipo siku nitaendesha manual tena labda iwe gari ya mtu nidowee kwa muda
na ukipewa unaweza usiendeshe jinsi ulivyo mvivu
 
Kwa magari makubwa kama Nissan na Land Cruiser Manual ndio safi sanaa S ila gari ndogo zote Automatic Transmission is ok.
gari ndogo ikiwa manual ndio tamu sasa ukizingatia ndii raha ya gari unaiona, yaani unafeel kwelikweli unaendesha gari
 
Raha ya manual transmission gari iwe na injini ya kibabe yenye mlio mzito kidogo kama landcruiser, nissan, subaru n.k ila kwa vigari vidogo kama IST, swift, starlet, rav 4 n.k bora zibaki kuwa auto tu sababu ile feeling ya kuwa connected na gari huipati vizuri.
Halafu manual kama hujui vizuri utaishia kuunguza clutch yaani halihitaji kubahatisha sio kama auto ukitia gia unalenga barabara mpaka unafika. Pia ukiwa nalo ni kama utakuwa umeexclude wife/mpenzi/marafiki kutembea nalo hilo gari maana asilimia kubwa sikuhizi hawajui kuendesha maana wengi unakuta alijifunzia manual driving school na baada ya hapo akaingia kwenye auto kwahiyo unakuta ashasahau kupush manual kiufanisi.
Zaidi ya yote manual ni gari nzuri sana ndio maana hata karibia gari nyingi serikalini zinazoagizwa ni manual. Wapenda magari wengi(enthusiast) Manual transmission na labda automanual kwa gari za kisasa is the best way to go sababu inakuwa ile feeling ya kuwa connected na gari yangu ila kama unatumia gari ili mradi ufanye shughuli zako tu Automatic transmission ni kwa ajili yako.
 
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
anashindana na wakati
mimi ni dereva mzuri wa manual but i hate manual napenda Automatic huchoki safari
 
zamani nilizania kiendesha manual ni sifa.nikaja kigundua kwamba manual ni ulimwengu wa zamani zile.siku hizi kila kitu digital.had mabas makubwa ya mikoani yanaanza kutoka auto.sababu ni wajinga pekee wanaopenda kutumia nguvu kifanya kazi
 
Ila gari za manual tam bhana kwenye safari ndefu,nliendesha toyota hilux new model 2016 manual gear 7(sita mbele moja nyuma) kutoka mbeya mpaka arusha...gari za serikali zilinikoma njian[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom