Manual na Automatic

Manual na Automatic

Wewe nani anataka shida na magari ya manual. Mm siyapendi kama nn unatoka jasho bure kukorogakoroga kila mara. Ila AT aaah kama unananawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari zpo manual ila bei yake n juu kulinganisha na automatic.. Na pia nwdays watu hawapend manual ndio mana nyng unakuta n automatic hawapend usumbufu[emoji622]
Nimewahi sikia hivyo. Unaweza kutujuza kwanini magari yenye manual gear ni ghali kuliko yenye automatic transmission?
 
Kwa wasio na magari na mnataka kuweka kumbukumbuku kua mmewahi miliki gari...

Nenda screpa nunia mlango andika jina weka darini, watoto wakikua unawaonesha[emoji1495]
 
Kuendasha manual ndio uwanaume acha ujinga ww
Sasa hapa dar gari ya manual ya nn? Folen kila saa, huko kwenu polini arusha hakuna foleni nunueni manual dar automatic ndio zinaendwesha sana coz kuna foleni sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dar nalo jiji ??????????

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
Serikalini hawataki kusikia habari za Auto.....Magari yao mapya karibu yote ni manual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1405014053705-55953ccda031d.jpg
 
Daaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.

Huna hate kale kajenereta ka kumtisha jirani jamani life not fair,... Uzuri huna ,pesa huna ata mkwara basi loh!
 
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
hili povu tamu sana, inaonyesha jinsi ulivyo lain
 
manual ni mfumo wa zamani na automatic ni mfumo mpya sioni tofauti yoyote ile
ki dereva auto ni nzuri sabab gari inawah kuchanganya
pia kuna gari ambazo ni manual but ni button gear shift izo unaziweka kundi gani?
pia zipo ambazo ni auto na manual hizo unaziweka kundi gani?
Huwezi kuwa serious, auto inawahi kuchanganya kuliko manual? Hebu nenda kwenye rally yeyote unioneshe gari ya automatic!
 
Huwezi kuwa serious, auto inawahi kuchanganya kuliko manual? Hebu nenda kwenye rally yeyote unioneshe gari ya automatic!
asee hayo ya rally ni ishu tofauti naomba tuyaache(yame jumuisha mambo mengi sana)
kuhusu kuchanganya jaribu kuangalia 0to100 km kati ya manual na auto ni gari gani znawah? i mean znazotumia mda mchache..

tuache zile zenye liva chini ya sterling wheel maana zile ni auto ispokua unaeza kuchagua gia ya kutembelea(mfumo ni auto)
 
asee hayo ya rally ni ishu tofauti naomba tuyaache(yame jumuisha mambo mengi sana)
kuhusu kuchanganya jaribu kuangalia 0to100 km kati ya manual na auto ni gari gani znawah? i mean znazotumia mda mchache..

tuache zile zenye liva chini ya sterling wheel maana zile ni auto ispokua unaeza kuchagua gia ya kutembelea(mfumo ni auto)
Ku Mod gar yeyote unaweza fanya hivyo ila Trust me Auto inachelewa flan kwenye response! Kuipata namba 3 kwenye auto ukiwa hard on gas inachelewa zaidi tofauti na manual! Nilikuwa Mweka a month ago kwenye rally jamaa wa chuga wana automatics na manual cars na zote ziko na modded 1JZ engines ilikuwa mark 2 gx110(auto) na Chaser raffine gx100(manual) ila engine na turbo ni sawa!
Kila drag ile chaser ilikuwa inamnyoosha gx110 balaa! Hakuna kitu ilikuwa inasogelea hapo nyuma zaidi ya Mistubishi EvO ndio alikuwa anamtoa jasho! Kuna hadi li bmw v8 lilikuwa linakaa!
 
Ku Mod gar yeyote unaweza fanya hivyo ila Trust me Auto inahelewa kwenye response! Manual inapokea fasta sana kuliko ile computer controlled gearbox! Nilikuwa Mweka kwenye rally jamaa wana automatics na manual cars na zote ziko na modded 1JZ engines ilikuwa mark 2 gx110(auto) na Chaser raffine gx100(manual) ila engine na turbo ni sawa!
Kila drag ile chaser ilikuwa inanyoosha balaa! Hakuna kitu ilikuwa inasogelea hapo nyuma zaidi ya Mistubishi EvO ndio alikuwa anamtoa jasho!
achana na magari ya rally brother maana hayapo sawa na gari zetu hizi za kawaida ndio maana sio kila gari inashiriki!!
chukua homework 50miters weka defender hapo weka harrier hapo unahisi hadi unamaliza hizo mita difenda itamaliza na speed kiasi gani na harrier speed kiasi gani?
 
Technically auto na manual zina fault na default zake, coz naona wengi wana comment kimahaba na sio ufundi zaidi, ukijua ki undani hizo system zote utachagua kitu sahihi kwako
 
Back
Top Bottom