John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 414
Mjomba bwana et"kubebA magunia kichwan ndo uanaume "umeniua mbAvu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni wale watu ambao aliuziwa manual kwa bei rahisi hapa dar. Sasa anatafuta namna ya kujustify... Uanaume haupatikani kwa kuendesha hata 5 pedals. Unapatikana kwa uwezo wa kufikiri na kuongea.kuna namna mtu u kipresent ideas zako na vitendo wanakuona wewe mwanaume.
si kwa kuja kuongea ongea maneno ya shombo na mipasho kama hii. Na mwanaume hahitaj kusema yeye ni mwanaume.... Watu wanaona. Ukiona simba anapiga kelele kuwa yeye ndo simba ujue huyo si simba. Simba anaonekana tu na wanyama wanamjua huko porini.
Wewe ni mshamba na pengine ni mdada sema umeingizwa mjini unakuja kutafuta justification hapa. Kila gari sasa wanatoa auto maana wanataka mtu aendeshe kwa starehe ame relax na lengo ni kuwa driving iwe so simple and smething relaxing...no headache etc.
Naendesha manual na naendesha auto. But na prefer auto sana.... Ninaendesha manual toka mwaka 1997 mpaka leo hii. But sioni kama napaswa nije nipige kelele hapa kama mwehu.
Kuna siku utakuja sema kubeba magunia kichwani ndo uanaume na si kutumia toroli au usafiri. Utasema kulima kwa jembe la mkono ndo uanaume na si kutumia tractor. Upuuzi wa kiwango cha phd
Sent using Jamii Forums mobile app