Manual na Automatic

Manual na Automatic

Mara ya mwisho kuendesha manual ni wakati nipo driving school miaka hiyo,
Ni mwendo wa Automatic tu na sijui kama ipo siku nitaendesha manual tena labda iwe gari ya mtu nidowee kwa muda
 
Manual ndo my favourite aisee,mashine unaipiga mzuka kabisa
 
Back
Top Bottom