mpapamwali
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 148
- 168
Official technicians wa seriakali yako wamerecomend manual transmission kwa gari za serikaliAuto ndio latest.. Manual ni technology ya zama za mawe
Gari ndogo manual zipo kibao sana. Noah za mwaka 1999 na 2000 zipo manual, Hyundai i10 (zingine voda walikuwa wanagawa bure) ni manual. Toyota Yaris za 2002 nyingi manual. Sema tu inabidi tubadilike kadri teknolojia inavyobadilikahalafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nunua kufuli..jero tuu..unapewa na funguo tatu..
safi mkuukuendesha automatic ni kama unajifunza kupaki gari tu, hakuna cha kujivunia
hehehehe povu blazaNi wale watu ambao aliuziwa manual kwa bei rahisi hapa dar. Sasa anatafuta namna ya kujustify... Uanaume haupatikani kwa kuendesha hata 5 pedals. Unapatikana kwa uwezo wa kufikiri na kuongea.kuna namna mtu u kipresent ideas zako na vitendo wanakuona wewe mwanaume.
si kwa kuja kuongea ongea maneno ya shombo na mipasho kama hii. Na mwanaume hahitaj kusema yeye ni mwanaume.... Watu wanaona. Ukiona simba anapiga kelele kuwa yeye ndo simba ujue huyo si simba. Simba anaonekana tu na wanyama wanamjua huko porini.
Wewe ni mshamba na pengine ni mdada sema umeingizwa mjini unakuja kutafuta justification hapa. Kila gari sasa wanatoa auto maana wanataka mtu aendeshe kwa starehe ame relax na lengo ni kuwa driving iwe so simple and smething relaxing...no headache etc.
Naendesha manual na naendesha auto. But na prefer auto sana.... Ninaendesha manual toka mwaka 1997 mpaka leo hii. But sioni kama napaswa nije nipige kelele hapa kama mwehu.
Kuna siku utakuja sema kubeba magunia kichwani ndo uanaume na si kutumia toroli au usafiri. Utasema kulima kwa jembe la mkono ndo uanaume na si kutumia tractor. Upuuzi wa kiwango cha phd
Kaa hapo hapo nje kwenye "manyo" yako!kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo, ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha, mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding. Real men use three pedal
MAGARI
Hapana mkuu, inategemea na nchi, Japan ndo wanataka kuondokana na Manual Transmission ila European countries wanatoa kila aina na wanadumisha MT kwakuwa wanamatumizi nayo mengi tuu....na Europe ndio wanaoongoza kwakuwa na driving licence inayokubaliwa na nchi nyingi duniani, wanafundishia MT.mimi ni dereva mzoefu sana
ila ndio hivyo manual zinaanza kupotea potea
wanaoponda manual hawaziweziHapana mkuu, inategemea na nchi, Japan ndo wanataka kuondokana na Manual Transmission ila European countries wanatoa kila aina na wanadumisha MT kwakuwa wanamatumizi nayo mengi tuu....na Europe ndio wanaoongoza kwakuwa na driving licence inayokubaliwa na nchi nyingi duniani, wanafundishia MT.
Kuendasha manual ndio uwanaume acha ujinga wwkwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo, ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha, mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding. Real men use three pedal
MAGARI
Hapana mkuu, inategemea na nchi, Japan ndo wanataka kuondokana na Manual Transmission ila European countries wanatoa kila aina na wanadumisha MT kwakuwa wanamatumizi nayo mengi tuu....na Europe ndio wanaoongoza kwakuwa na driving licence inayokubaliwa na nchi nyingi duniani, wanafundishia MT.
Acha kukariri mkuu.kama wewe hujaziona au tanzania hakuna au hujawahi ona sawa.but zipo na zinatengenezwa kama kawaidaaahalafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu