Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Ngumu sana mi nipo chuga ila we nenda kwenye maduka makubwa ya vipodozi ulizia chastisty uwa zinaonekana hivi

Hivi Kwa Arusha ni maduka gan naweza aina yeyote ya pafyumu ninayohitaji mkuu,nimejaribu kwenda Sakina Supermarket sijapata
 
Duh....nao walipiga sana sasa perfume ikae nusu saa kama sabuni family?kaka usingekubali ungerudi wakurudishie hela yako.
 
Hili nililisikia kwa mtaalam mmoja wa manukato kwamba unaweza kuta mtu anatumia perfume aina fulani akanukia vizuri sana ila mtu mwengine akajipulizia perfume hiyo hiyo akanukia kitu cha ajabu ajabu,akadai hali hii inatokana na kutofautiana aina ya jasho tunalotoa sijui ni kweli?hii ilinitokea nilibadilisha aina niliyoizoea watu wanaonijua wakawa wananiambia perfume nayotumia bora niiache hainifai ila alienishawishi kuinunua yeye ananukia vizuri.kama wataalam wapo humu naomba watufafanulie hili ni kweli au porojo tu?
 
Skin chemical.pia unaweza ona mtu akijipulizia kwenye ngoz cologne ikakaa masaa 8+.na wewe ukajipulizia kama yeye ikadumu kwa 2hrs tu
 

Mkuu, kitu Dior hamna(From France)!Kama kipo nambie nishuke
 
Kinondoni road baada ya Barclays branch iliofungwa?
 
Kinondoni road baada ya Barclays branch iliofungwa?
Nimejaribu kutaka kununua bidhaa kutoka kwa jamaa.sema hana ofisi.alitaka tukutane barabarani tufanye biashara.hata account yake ya jamii forum ndo kwanza ni mpya.nimepata mashaka kiasi flani kibinaadam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…