Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Weken kapicha basiMid night poison
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weken kapicha basiMid night poison
How much.....??Kitu hiki hapa, hilo pupwe lake si mchezo,![]()
Hivi Kwa Arusha ni maduka gan naweza aina yeyote ya pafyumu ninayohitaji mkuu,nimejaribu kwenda Sakina Supermarket sijapataNgumu sana mi nipo chuga ila we nenda kwenye maduka makubwa ya vipodozi ulizia chastisty uwa zinaonekana hivi
![]()
![]()
Skin chemical.pia unaweza ona mtu akijipulizia kwenye ngoz cologne ikakaa masaa 8+.na wewe ukajipulizia kama yeye ikadumu kwa 2hrs tuHili nililisikia kwa mtaalam mmoja wa manukato kwamba unaweza kuta mtu anatumia perfume aina fulani akanukia vizuri sana ila mtu mwengine akajipulizia perfume hiyo hiyo akanukia kitu cha ajabu ajabu,akadai hali hii inatokana na kutofautiana aina ya jasho tunalotoa sijui ni kweli?hii ilinitokea nilibadilisha aina niliyoizoea watu wanaonijua wakawa wananiambia perfume nayotumia bora niiache hainifai ila alienishawishi kuinunua yeye ananukia vizuri.kama wataalam wapo humu naomba watufafanulie hili ni kweli au porojo tu?
Calvin Klein, Daviddoff, tunazo.
View attachment 490919
View attachment 490920
View attachment 490923
View attachment 490922
View attachment 490924
View attachment 490925
Bei zetu kwa baadhi ya products ni:
Davidoff Cool Water: 120,000/=
Calvin Klein for Men: 150,000/=
Jean Paul Gaultier: 100,000/=
Dolce and Gabbana: 120,000/=
Salvatore Ferragamo 120,000/=
Tunapatikana Kinondoni Road, Dar es Salaam, 0621 475574.
Kinondoni road baada ya Barclays branch iliofungwa?Calvin Klein, Daviddoff, tunazo.
View attachment 490919
View attachment 490920
View attachment 490923
View attachment 490922
View attachment 490924
View attachment 490925
Bei zetu kwa baadhi ya products ni:
Davidoff Cool Water: 120,000/=
Calvin Klein for Men: 150,000/=
Jean Paul Gaultier: 100,000/=
Dolce and Gabbana: 120,000/=
Salvatore Ferragamo 120,000/=
Tunapatikana Kinondoni Road, Dar es Salaam, 0621 475574.
Nimejaribu kutaka kununua bidhaa kutoka kwa jamaa.sema hana ofisi.alitaka tukutane barabarani tufanye biashara.hata account yake ya jamii forum ndo kwanza ni mpya.nimepata mashaka kiasi flani kibinaadam.Kinondoni road baada ya Barclays branch iliofungwa?
Kwa Benson uhuru road...Kuna kila aina hadi Creed na the like...Hivi Kwa Arusha ni maduka gan naweza aina yeyote ya pafyumu ninayohitaji mkuu,nimejaribu kwenda Sakina Supermarket sijapata
JF NJOO NA AKILI ZAKO ZOTE USIACHE HOME MAANA HATA CHAKA UNAINGIZWA TUUUkikosa Swali La Jibu Lako JF Hahahahaaaa Rudi Kwenu Kasalimie Wazee
ndio ya bei ndogo hiyo mkuu...????...Terre Dehamas laki na ishirini
Tupe picha ya chastity mkuu, nimekua nikiisikia tuBhasi iyo ni fake mi 2dys