Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Mlimani ndo zinapatikana kwa wingi au sehem nikapata perfume original

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimani kuna dada anaitwa kim perfume
Pia kuna mshikaji anajiita Ematscent intagram na ofisi yake iko makumbusho...huyu Ema customer care yake sio nzuri pia naona kama anachakachua ki mtindo tofauti na ubora wa mwanzo.
 
HAKUNA, kwani wanaume hawatumii perfume, wanatumia cologne.
 
Bei gani hizi shangazi?

Kwa sasa sijui bei zake, mdogo wangu ndio alikua anatumia muda sana,na sijui kama zipo tena,ila kama una mtu ulaya ukimuagiza anaweza kupata,zinanukia vizuri mno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…