Mkuu nimetumia za elfu 3 kwa kitambo sana, Mara mojamoja siyo mbayaNa hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani kwa " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.
Channel No5. Bei laki tatu kwa 100mL
Na hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani kwa " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.
harufu nzuri enh....nifundishe na mimi kwa undani ili niwe naitumiaSisemi ya kwangu mtaniigiza. Limau, Rosmery, cloves, lavender na rose flowers nachanganya napika yanatoka mafuta halaufu natumia mafuta kupaka kwenye sehemu za kunuswa. I have been doning this for 20 years.
Rubii Jamaniiiii!Michango ya ujenzi kanisani imekushinda utaweza perfume original[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimeshatuma mess naenda kulala kibibi mie mpaka niamke nite nite.harufu nzuri enh....nifundishe na mimi kwa undani ili niwe naitumia
[emoji12] tumia jasmine ndio size yako mkuuRubii Jamaniiiii!
Nifundishe kidogo au nitajie jina la pafume nzuri ya shemu unayoipendNimeshatuma mess naenda kulala kibibi mie mpaka niamke nite nite.
Issey MiyakeIssamiakye ya kiume.
Issamiakye ya kiume.
Napenda body spray yakeIssamiakye ya kiume.