mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Mkuu nimetumia za elfu 3 kwa kitambo sana, Mara mojamoja siyo mbayaNa hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani kwa " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.