Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Na hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani kwa " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.
Mkuu nimetumia za elfu 3 kwa kitambo sana, Mara mojamoja siyo mbaya
 
Back to blue "blue de Chanel" 350 tsh au lacoste noir intense 190 tsh
 
Channel No5. Bei laki tatu kwa 100mL
upload_2016-5-9_19-20-36.jpeg
 
Na hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani kwa " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.

Aiseee mbona unaongea ukweli sana wewe mtu wa Rwanda
 
Sisemi ya kwangu mtaniigiza. Limau, Rosmery, cloves, lavender na rose flowers nachanganya napika yanatoka mafuta halaufu natumia mafuta kupaka kwenye sehemu za kunuswa. I have been doning this for 20 years.
harufu nzuri enh....nifundishe na mimi kwa undani ili niwe naitumia
 
Back
Top Bottom