Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Nilinunua Creed (clone) niliiona ya kawaida sana harufu sikuipenda, mwisho wa siku niliigawa, nataka nichukue Tom ford nitest mambo yake
 
Nyakati hizo perfume fulani amazing daily nikitoka kimara baruti kwenda posta nakumbatiwa na namba juu sijui inaamshq genye za kusini, ikanilazimu nimehamie Dune dior
 
IMG_3968.jpg

Kama humu, Kutamu balaa
 
Back
Top Bottom