Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Bei ngapi hii
Sijui ni sh. Ngap kwa pesa yetu
Screenshot_20220530-000142_Gallery.jpg
 
Chimbo liko wapi niende hata jioni hii. Nielekeze ndugu
Kariakoo pale barabara ya uhuru .
Gari zinazotoka kinyerezi au segerea huwa zinapark pale zinapakia kabla hazijaenda mnazi mmoja.

Sasa pale pale zinapopark gari,Kwa mbele kidogo Kuna zebra..
Ukivuka zebra u unaingia kwenye njia hiyohiyo ina maduka ,duka la kwanza la pili la tatu ndio hapohapo.

Au kama umetokea shimoni huku,,unanyosha na hiyo barabara hadi uikute barabara ya uhuru.
Unavuka barabara kwenye zebra..
Hapo hapo Kuna maduka hayo,
Ukiuliza duka la perfume za kupima utalipata.

Hayo machimbo mengine yote huwa wanatoa hapo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi nimeenda.

Nikavuka hiyo zebra.

Lakin mbona nimekuta yamepangana maduka ya Madawa na Electronics tu.

Mfano hilo duka la tatu kutoka main road ni Pharmacy.
IMG_20220611_151133_578.jpg
 
Kiongozi nimeenda.

Nikavuka hiyo zebra.

Lakin mbona nimekuta yamepangana maduka ya Madawa na Electronics tu.

Mfano hilo duka la tatu kutoka main road ni Pharmacy.
View attachment 2257335
Umeingia sipo.

Usiingie barabara ya vumbi.,ukivuka rudi Kwa nyuma kidogo..Chocho yake ipo katikati ya maduka.
Kuna barabara Moja ya vumbi ndio hiyo,,nyingine ya nyuma Yake ina stationaries tu..sasa penyewe ni katikati.

Nitaenda j3 kununua,nitapiga picha hapo barabarani pa kuingilia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Umeingia sipo.

Usiingie barabara ya vumbi.,ukivuka rudi Kwa nyuma kidogo..Chocho yake ipo katikati ya maduka.
Kuna barabara Moja ya vumbi ndio hiyo,,nyingine ya nyuma Yake ina stationaries tu..sasa penyewe ni katikati.

Nitaenda j3 kununua,nitapiga picha hapo barabarani pa kuingilia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Daah utakua umenisave sana ukija tupia picha.

Maana hapa nimerudi nimesimama kwenye hii Zebra.

Sijavuka bado, naangalia nikivuka hilo duka la tatu limeandikwa Westpoint Delta.

Kwa kifupi yamepangana maduka yana majina kama BRUHM, BOSS, WESTPOINT, Freedom Computers na SAMIRO Pharmacy.

Hata kuuliza watu hapa napata uzito sana maana dalili ya "Duka la Manukato" hakuna kabisa.

IMG_20220611_171023_067.jpg
 
Daah utakua umenisave sana ukija tupia picha.

Maana hapa nimerudi nimesimama kwenye hii Zebra.

Sijavuka bado, naangalia nikivuka hilo duka la tatu limeandikwa Westpoint Delta.

Hiyo Chocho siioni kabisaaa
View attachment 2257507
Hapohapo ukitazama madukani utaona Kuna sehemu Ipo wazi,, ndani yake Kuna frem zimetazamana.

Yaani ni mitaa hiyohiyo,ukichezesha macho utapaona.
Usiende kwenye zile barabara za vumbi .

Back
Top Bottom