ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Una achaje kumpenda my wakoMwana utopolo unaipenda Simba kuliko utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una achaje kumpenda my wakoMwana utopolo unaipenda Simba kuliko utopolo
Unajua kama kikao kitakuwa kinakubana wewe ujanja ni kutuma mwakilishi.Huyu Manula ni kama anaanza kuogopa derby ........msimu uliopita alisingizia amejikata kidole [emoji23][emoji23]
Anamwogopa Aziz KiHuyu Manula ni kama anaanza kuogopa derby ........msimu uliopita alisingizia amejikata kidole [emoji23][emoji23]
We endelea na huo ubishi wako.Kinyume chake
Yanga 4........kolo 1
Au Jiiesiemu amemtembezea bahasha?Huyu Manura tumemshitukia [emoji23]
Kwani yeye Shabiki wa Utopolo? Range mwenyewe shabiki wa Simba kwahiyo yeye pia mbumbumbu.MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Moja ya vitu vinavyompa sifa ya uprofesa His Majesty Mohamed Nabi ni kuondoa hiyo kitu ya bila fulani ndani ya kikosi cha wananchi basi kitu fulani hakiwezekani. Toka huyo jamaa aondoke tumefanya mangapi?yule dogo mpiga mabomu ya kichawi si ashasepa, kesho tuna nyie tu.