Manula out Kariakoo derby ya kesho

Manula out Kariakoo derby ya kesho

Breaking news

𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔

Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima [emoji258] (benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.

Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji [emoji16] tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.

NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao[emoji102] Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.
 
Bennoo hataki kupokea hata simu ya makolo
 
Manula na kapombe ni wasaliti ikikaribia derby tu wanajivunja ukiangalia mechi ya mwisho jinsi manula alivyoumia unaona kabisa ni usanii tu kafanya.
 
Habari wakuu.

Inaasemekana
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo wa Leo.

1. Aishi Manura

2. Beno kakolanya.

3. Henock Inonga.

4. Shomary kapombe na

5. Sadio Kanute .

KWA NINI UONGOZI USISEME UKWELI.
UNAFICHA NINI KWA FAIDA GANI????.


NB. HAYA NDIO MADHARA YA UBAHILI WA MO KULETA WACHEZAJI WABOVU. UNAKOSA HATA REPLACEMENT.
MIZIGO IMEZIDI SIMBA.

Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.

POLENI SANA WANASIMBA.
 
Habari wakuu.

Inasemekana
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo wa Leo dhidi Ya YANGA.

1. Aishi Manura

2. Beno kakolanya.

3. Henock Inonga.

4. Shomary kapombe na

5. Sadio Kanute .

KWA NINI UONGOZI USISEME UKWELI.
UNAFICHA NINI KWA FAIDA GANI????.

NB. HAYA NDIO MADHARA YA UBAHILI WA MO KULETA WACHEZAJI WABOVU. UNAKOSA HATA REPLACEMENT.
MIZIGO IMEZIDI SIMBA.

Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.

POLENI SANA WANASIMBA.
 
Habari wakuu.

Inasemekana
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo wa Leo dhidi Ya YANGA.

1. Aishi Manura

2. Beno kakolanya.

3. Henock Inonga.

4. Shomary kapombe na

5. Sadio Kanute .

KWA NINI UONGOZI USISEME UKWELI.
UNAFICHA NINI KWA FAIDA GANI????.

NB. HAYA NDIO MADHARA YA UBAHILI WA MO KULETA WACHEZAJI WABOVU. UNAKOSA HATA REPLACEMENT.
MIZIGO IMEZIDI SIMBA.

Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.

POLENI SANA WANASIMBA.
Dah! Naona hofu imekujaa kweli kweli mkurugenzi! Imagine wachezaji muhimu kama hao wanakosekana kwenye mechi ngumu kama hii ya leo!

Hivi wakina Mayele si watakuwa wanatetema tu ndani ya dakika zote 99!
 
Back
Top Bottom