Manula out Kariakoo derby ya kesho

Huyu Manula ni kama anaanza kuogopa derby ........msimu uliopita alisingizia amejikata kidole [emoji23][emoji23]
Unajua kama kikao kitakuwa kinakubana wewe ujanja ni kutuma mwakilishi.
Manula mjanja sana ameamua kutuma mwakilishi kwenye kikao kwa kuwa hana majibu huyo dogo mwambieni akwepe mtego wa Manula.
Hii ni nafasi adhimu kwa Yanga kulipa kisasi cha goli 6 ambacho ndicho kitu pekee wanachojivunia.
 
Kwani yeye Shabiki wa Utopolo? Range mwenyewe shabiki wa Simba kwahiyo yeye pia mbumbumbu.

Lakini pia yaweza kuwa ye ndio mbumbumbu alishindwa kuwaelewa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…