Manula out Kariakoo derby ya kesho

Manula out Kariakoo derby ya kesho

MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO

Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.

Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.

Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja

WANASIMBA Mnasemaje hapa?

@jr_farhanjr

View attachment 2588424
FB_IMG_1681666686373.jpg
 
Breaking news

𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔

Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima [emoji258] (benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.

Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji [emoji16] tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.

NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao[emoji102] Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.
[emoji1787]
IMG-20230417-WA0003.jpg
 
Habari wakuu.

Inaasemekana
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo wa Leo.

1. Aishi Manura

2. Beno kakolanya.

3. Henock Inonga.

4. Shomary kapombe na

5. Sadio Kanute .

KWA NINI UONGOZI USISEME UKWELI.
UNAFICHA NINI KWA FAIDA GANI????.


NB. HAYA NDIO MADHARA YA UBAHILI WA MO KULETA WACHEZAJI WABOVU. UNAKOSA HATA REPLACEMENT.
MIZIGO IMEZIDI SIMBA.

Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.

POLENI SANA WANASIMBA.
Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.

POLENI SANA WANASIMBA.[emoji23]
IMG-20230416-WA0141.jpg
 
Back
Top Bottom