Manula out Kariakoo derby ya kesho

Manula out Kariakoo derby ya kesho

Sisi kama wananchi hatutaki mambo kama hizi .tuna taka mje kamili msije anza visingizio iki wapendeza muingia 13 uwanjani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwaa kweliii.
 
Unajua kama kikao kitakuwa kinakubana wewe ujanja ni kutuma mwakilishi.
Manula mjanja sana ameamua kutuma mwakilishi kwenye kikao kwa kuwa hana majibu huyo dogo mwambieni akwepe mtego wa Manula.
Hii ni nafasi adhimu kwa Yanga kulipa kisasi cha goli 6 ambacho ndicho kitu pekee wanachojivunia.
Semaaa tenaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatutaki.......!!!!! sisi tunataka wote watimie hatutaki visingizio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msalimieee Nabi kumbe kiswahili anakijua vizuri kabisaaa, khaaaah

Nimechekaa hadi baas.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Breaking news

𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔

Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima [emoji258] (benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.

Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji [emoji16] tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.

NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao[emoji102] Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.
Njooo hapa usemee maneno yako tenaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopwiseeee wee.
 
Dah! Naona hofu imekujaa kweli kweli mkurugenzi! Imagine wachezaji muhimu kama hao wanakosekana kwenye mechi ngumu kama hii ya leo!

Hivi wakina Mayele si watakuwa wanatetema tu ndani ya dakika zote 99!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bahati yako, Una mdomo sanaa wee, bila kuogopaa Ban ningekufurahishaaa. Wallah
 
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO

Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.

Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.

Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja

WANASIMBA Mnasemaje hapa?

@jr_farhanjr

View attachment 2588424
Wacha wee
 
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO

Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.

Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.

Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja

WANASIMBA Mnasemaje hapa?

@jr_farhanjr

View attachment 2588424
Haya sasa tupe Majibu baadae Kipigo Heavy Weight
 
Shabaniiiiiii
ulisema veve kipa daka mishale mbona kwepa mpira sasaa
 
Back
Top Bottom