cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uko wapiiii???Shida ni mechi anayoenda kukutana nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uko wapiiii???Shida ni mechi anayoenda kukutana nayo
Bomu amerushaa kibuuu, Diarra kalambaa nyasii za lupasoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata golini wangekuwemo manula na mwenzake bado hawawezi kudaka mabomu. Saizi wananchi tunarusha mabomu tu
Leta manenooo, leta manenoooSisi mashabiki tunamtaka Manula pale langoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwaa kweliii.Sisi kama wananchi hatutaki mambo kama hizi .tuna taka mje kamili msije anza visingizio iki wapendeza muingia 13 uwanjani
Semaaa tenaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua kama kikao kitakuwa kinakubana wewe ujanja ni kutuma mwakilishi.
Manula mjanja sana ameamua kutuma mwakilishi kwenye kikao kwa kuwa hana majibu huyo dogo mwambieni akwepe mtego wa Manula.
Hii ni nafasi adhimu kwa Yanga kulipa kisasi cha goli 6 ambacho ndicho kitu pekee wanachojivunia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msalimieee Nabi kumbe kiswahili anakijua vizuri kabisaaa, khaaaahHatutaki.......!!!!! sisi tunataka wote watimie hatutaki visingizio.
Njooo hapa usemee maneno yako tenaaaaa.Breaking news
𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔
Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima [emoji258] (benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.
Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji [emoji16] tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.
NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao[emoji102] Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muulize Diarra akuambie ya Kibu. WoiiiiiiiihHata ungekuwa ni wewe ungekimbia tu. Yale mashuti ya Aziz Kii yanaogopesha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bahati yako, Una mdomo sanaa wee, bila kuogopaa Ban ningekufurahishaaa. WallahDah! Naona hofu imekujaa kweli kweli mkurugenzi! Imagine wachezaji muhimu kama hao wanakosekana kwenye mechi ngumu kama hii ya leo!
Hivi wakina Mayele si watakuwa wanatetema tu ndani ya dakika zote 99!
Wacha weeMANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Haya sasa tupe Majibu baadae Kipigo Heavy WeightMANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Tutolee uwongo kabwili aliingizwa kichwa na kagereHakuna shida yoyote, hiyo mechi hata kabwili alishawahi kuicheza na wakashinda
Acha ubishi weweTutolee uwongo kabwili aliingizwa kichwa na kagere