Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

Kuwa makini na aliexpress matapeli wengi, mizigo kuchelewa, kuibiwa ela kwenye akaunti.. Secured online purchase na uhakika wa kufika mizigo kwa haraka utapata ebay na amazon..
View attachment 496163 View attachment 496164
Hii ni based na experience yako au overall review ya mtandaoni? Mimi binafsi nimefanya biashara kupitia alibaba na aliexpress ni subsidy ya alibaba. Labda mzigo uchelewe tu lakini suala la kutapeliwa halipo kwa upande wao hasa kama umelipia kupitia mfumo wao wa malipo. Na pia kama items ni more valuable no bora ukatumia DHL. Post office mzigo unaweza potea kwa uzembe wa watu wa posta ukamlaumu supplier..Aliexpress wameweka option, yaani mzigo ukishafika items kadhaa wanakulazimisha kutumia premium courier services...Labda uwe una order items moja moja au mbili kutoka supplkier mmoja. Lakini kama ni mzigo wa maana huo inabidi utumie tu DHL au Premium shipping ya aliexpress
 
Kama unashindwa kufungua sanduku kwa elf 30 haupo tayari kuanza biashara, Ila nahisi labda unataka uwe unasafirishiwa kwa dhl kwa laki 2 kwa simu moja tu🙂🙂
 
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Mie nimenunua toka AliExpress ha sikuweka box hilo unalolisema. Niliweka tu namba ya simu na mzigo ulipofika nilipokea sms toka posta kwenda kubeba mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom