Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
[emoji23][emoji23][emoji1550]Ndo mana diamond sasa hatambi kusema anamiliki pesa kiasi gani manake mzee hachelewi kusema amkopeshe amalizie SGR
Wengine tumekuja kuwasindikiza wanaoishi duniani
Pepo na moto ni hapahapa duniani
Mkuu mtukula dodoma?Kudambuzi hiyo hela haiwezi kuisha wakuu, Magufuli akipita kwenye hii thread atasema kwanini hizo pesa asizielekeze kwenye ujensi wa reli ya SRG Morogoro mpaka Mtukula dodoma,
Hard work pay..
Hadithi hii inatufundisha namna ya akili mweusi na mweupe zinavyotofautianaHadithi hii inatufundisha nini?
Hadithi hii inatufundisha namna ya akili mweusi na mweupe zinavyotofautiana
Inatufundisha kuwa HARD WORKING PAYS! LIVE YOUR LIFE!Hadithi hii inatufundisha nini?
Na ndivyo ingekua hahahNdo mana diamond sasa hatambi kusema anamiliki pesa kiasi gani manake mzee hachelewi kusema amkopeshe amalizie SGR
Sema hufuatilii habari za mastar.... Jay Z alienda likizo akakodi meli ya kifahari Bilion moja kwa siku moja tu.... Kuna watu wanatumia hela, sema huyu Flyde amekuwa star kwa kipindi hiki ndiyo maana anafuatiliwa sana na mapaparazi.....Akina beyonce jayz, diddy wana mihela kumzidi na wametulia tuli. Huyu asojua kusoma mbwembwe nyiiingiii usijute halipi hata taxes baada ya mida tusikie ka file bankruptcy [emoji849][emoji849]
Difference is JayZ hafanyi show offs za kijinga kama Mayweather. Floyd kawa star ghafla na dharau nyingi zinampanda kichwani. Jamaa dharau selfish plus abusive sana. Yet dumb as hell.Sema hufuatilii habari za mastar.... Jay Z alienda likizo akakodi meli ya kifahari Bilion moja kwa siku moja tu.... Kuna watu wanatumia hela, sema huyu Flyde amekuwa star kwa kipindi hiki ndiyo maana anafuatiliwa sana na mapaparazi.....
Hahahaakili za wanawake bana ona sasa kakosa maisha mazuri forever ila jamaa noma ni mwendo wa bilioni tu
mkuu umejuaje hajui kusoma??Difference is JayZ hafanyi show offs za kijinga kama Mayweather. Floyd kawa star ghafla na dharau nyingi zinampanda kichwani. Jamaa dharau selfish plus abusive sana. Yet dumb as hell.
Akajifunze hata kusoma basi.