Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Kwann usiombe Mungu akupe na wewe angalau kuliko kutoa povu kama hivyo!!? hahaha ila maskini sisi tuna shida sana unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuspend jasho lake!!??
Jayz na Mayweather hawawezi kua sawa kwa sababu ni watu wawili tofauti.
Ujinga ni pale povu linapokutoka kwa mali za wenzio ndio nyie mnao wauwa waume zenu kisa kibanda. lol.Usilolijua kama usiku wa giza,
Hongera kwa kuwa mjinga
Nakuongezea hongera nyingine kwa kuwa mpu mbavu. Third time nakutumia kadi ya ku graduate wendawazimuUjinga ni pale povu linapokutoka kwa mali za wenzio ndio nyie mnao wauwa waume zenu kisa kibanda. lol.
hahahaha so pathetic.Nakuongezea hongera nyingine kwa kuwa mpu mbavu. Third time nakutumia kadi ya ku graduate wendawazimu
Huez jua bahat yako mkuuKumbe na mm nisiiache biko eeehe?
Dah hii statement hua naitafakari sanaMwenye nacho ataongezewà
Lipumba akili zake kama zako tu no wonder you kiss other mens buttholes!
He is b**tch like you.
Unatamani ningekuwa mlima mahindi eeenh !? Ja! Haya kamwambie umemtetea umpe na proof kama ataweza kusoma akupe hela ya Mafuta ya taa
Gates ana private jet na private yatch. Sema hana show off.Kuna tofauti kubwa sana ya matumizi kati ya matajiri weupe kama Bil Gate, Murdoch na Buffet na matajiri weusi kama Maywether na wengineo. Matajiri weusi wana matumizi ya hovyo sana na ya kujionyesha kuwa wanazo wakati matajiri wa kizungu wana nidhamu ya hali ya juu ktk matumizi yao na wanatumia utajiri wao kusaidia na kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi.
Utajiri kama wa Bil Gate hakuna ambaye haujamgusa hapa Tanzania, wakati utajiri wa Maywether utakugusa pale utakutana naye supermarket akifanya manunuzi.
BTW hivi Bil Gate naye anayo private jet binafsi kama ya Maywether?
Vv
Kiongozi mimi sijaja kusindikiza mtu naishi maisha yangu.Wengine tumekuja kuwasindikiza wanaoishi duniani
Tena huko supermarket ama madukani anawanunulia wadada wote ambao watakutwa huko kwa siku hioKuna tofauti kubwa sana ya matumizi kati ya matajiri weupe kama Bil Gate, Murdoch na Buffet na matajiri weusi kama Maywether na wengineo. Matajiri weusi wana matumizi ya hovyo sana na ya kujionyesha kuwa wanazo wakati matajiri wa kizungu wana nidhamu ya hali ya juu ktk matumizi yao na wanatumia utajiri wao kusaidia na kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi.
Utajiri kama wa Bil Gate hakuna ambaye haujamgusa hapa Tanzania, wakati utajiri wa Maywether utakugusa pale utakutana naye supermarket akifanya manunuzi.
BTW hivi Bil Gate naye anayo private jet binafsi kama ya Maywether?
Vv
Kusaidia ni mbinu ya kuongeza utajiriGates ana private jet na private yatch. Sema hana show off.
Na kusaidia ni mbinu ya kuongeza utajiri.
Hakuna na hakutakuwapohivi hakuna wabunge kiwango hicho cha pesa hasa wa ccm waliowahi kushika wizara kama za madini?
Tusiige kunya kwa tembo, tuwekeze nguvu kwa tunachokula .....Hadithi hii inatufundisha nini?