Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa

Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya Nyanya na Mishikaki , iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo , Bilionea Joseph Mbilinyi , ambaye pia anafahamika kama Sugu au RealJongwe kama anavyofahamika siku hizi ama waweza kumtambua kama Mfungwa wa kisiasa .

Kama masihara tu akaibuka kwenye soko la Igawilo , ambako alienda kununua nyanya na vitunguu , yaani viungo mbalimbali zikiwemo karoti na pilipili hoho kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake , na baadaye wadau wakampeleka hadi eneo la kuchomea mishikaki , ili waitafune kidogo .

Basi bhana kufumba na kufumbua akajikuta amezungukwa na umati ambao haufahamiki ulikotokea ! Hakika huyu jamaa anapendwa Mbeya Mjini ! kwa kifupi ni kwamba Shughuli za soko ni kama zilisitishwa kwa muda kupisha Sugu anunue nyanya yaani ! Ilifika wakati tukahofia kwamba huenda Polisi wangevurumisha mabomu ya machozi , maana umati wake unazidi ule wa mechi ya Yanga VS Al hilal ya Sudan kwa Mkapa.

Kwenye Hili nimejifunza jambo moja kubwa sana , kwamba USISHINDANE NA ALIYEJAALIWA , UTADHALILIKA SANA , wazalamo wana msemo mmoja kwamba , ACHOLILE KACHORA .
Mkuu ,ni kuchola si kuchora
 
Umeshau kusema Mbeya nzima ilitikisika😂
 
Kwani kuna binadamu anaishi milele?

Hoja yako ni ya kipuuzi na inaonyesha undani wa kichwa chako!
Unataka basi na Mimi nimuone sugu kama Baba yangu mbwa wewe ..........Kwanza nikutoe tongotongo Tu namjua before Sana akati alikuwa mlinzi wewe sijui kipindi iko uko wapi?? Mavi wewe.........mwambie akubandue basi
 
Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au RealJ ongwe kama anavyofahamika siku hizi, ama waweza kumtambua kama mfungwa wa kisiasa.

Kama masihara tu akaibuka kwenye soko la Igawilo ambako alienda kununua nyanya na vitunguu, yaani viungo mbalimbali zikiwemo karoti na pilipili hoho kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake, na baadaye wadau wakampeleka hadi eneo la kuchomea mishikaki, ili waitafune kidogo.

Basi bwana kufumba na kufumbua akajikuta amezungukwa na umati ambao haufahamiki ulikotokea! Hakika huyu jamaa anapendwa Mbeya Mjini! Kwa kifupi ni kwamba shughuli za soko ni kama zilisitishwa kwa muda kupisha Sugu anunue nyanya! Yaani ilifika wakati tukahofia kwamba huenda polisi wangevurumisha mabomu ya machozi, maana umati wake unazidi ule wa mechi ya Yanga dhidi Al Hilal ya Sudan kwa Mkapa.

Kwenye Hili nimejifunza jambo moja kubwa sana, kwamba usishindane na aliyejaaliwa, utadhalilika sana. Wazaramo wana msemo mmoja kwamba, "Acholile kachora".
Hypabolic writing au mubaragha
 
Back
Top Bottom