Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa

Mkuu ,ni kuchola si kuchora
 
Sasa sisi tutaaminije kuwa alifunga soko because logically it doesn’t make any sense! Who is he btw
Balozi wa Marekani juzi tu kamtembelea Sugu Mbeya , huyu unataka kumfananisha na wabeba majeneza kweli ! una roho ngumu sana !
 
Umeshau kusema Mbeya nzima ilitikisika😂
 
Kwani kuna binadamu anaishi milele?

Hoja yako ni ya kipuuzi na inaonyesha undani wa kichwa chako!
Unataka basi na Mimi nimuone sugu kama Baba yangu mbwa wewe ..........Kwanza nikutoe tongotongo Tu namjua before Sana akati alikuwa mlinzi wewe sijui kipindi iko uko wapi?? Mavi wewe.........mwambie akubandue basi
 
Hypabolic writing au mubaragha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…