Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa


Mtoa mada aambatanishe picha ya huyo jongwe na umati wake katika uelewa wake wa hii hoja.
 
Kwa hiyo hii habari umesimuliwa au?

Ingekuwa umeona ungeweka picha. Porojo tu!
 
Labda walienda kumshangaa inakuaje Bilionea anaenda Sokoni yeye mwenyewe tena kununua Nyanya na Vitunguu!
 
Hivi huyu jamaa kapataje hela? Mziki au?
Maana aliingia bungeni kachoka akatoka billionea
 
Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.

Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.

Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.

Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.

Welcome back Sugu.
 
Tulia alipewa tu hilo jimbo na yule jamaa yenu. Hakushinda kwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…