TUme ya kupiga kura itakata tu jina lake.Siku hizi hatufati kura bali ni matakwa ya tumeBaada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Vijana huwa hawana akili,wasituletee balaa mwisho wa siku serikali ikaghairisha miradi yote waliyopanga kufanya Mbeya Kwa heshima ya Speaker..Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Kwa maslahi ya Mkoa wa Mbeya Sugu hafai ila kama wanataka kuendelea kuwa hovyo basi wamchague Sugu.Kwa uchaguzi huru kabisa na wa haki, Tulia hawezi kupata hata nusu ya kura za Sugu.
Sugu, kwa Mbeya, anapendwa na anaheshimika sana.
Kwa nini? Wakati Kwa sasa ndio kuna nafuu na miradi inakuja kwa jina la Speaker..Sio kweli mkuu tulia aliweza kujenga Imani ya wana mbeya na alishinda ila awami ya 6 wameua Imani yote ya wana mbeya kwa ccm hivyo sugu atashinda tena kama akigombea wanambeya waje kuniprove wrong usiongee kishabiki
Acha vioja mkuu ,hoja gani amewahi Jenga Sugu?Naunga mkono hoja hata mm nitampa. Kura yangu Kwa kuwa ni mtu anayejua kujennga hoja na bungeni xx kumepwaya Kwa kukosekana upinzani najua tutakuwa tumejifjnza tuliwapenda xna
Wamrudishe Johnson wangu; I like him.Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Sugu ni mnyakyusa?
Mbeya ni ya Wasafwa lakini Sugu ni mkinga na mbunge Msomi wa sasa ni Mnyakyusa
Weee !!!Sema jamaa nae anapenda sifa sana,
Picha iko wapi
Picha ipo wapi mzee baba...
Ni maandalizi ya mikutano ya hadhara Nchi nzima.Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Huyo sura kuwatisha watu kuhusu Rais,ukiwa na madaraka cheza kwa usalamaKilaza hana uwezo wa kumtoa Dk Tulia
Kabwe mpaka sterio mtu utajua kila kitu bila kusahau masela wa uyole na nzovwe kwa mbali stendi ya mbaliziNaona kaamua kupita sokoni nadhani ni Kabwe hapo, eneo lenye wananchi wa kima cha chini ndio sehemu sahihi mwanasiasa unaweza pata picha kama unakubalika au lah
Kabadilisha nn???Acha vioja mkuu ,hoja gani amewahi Jenga Sugu?
Amekuwa mbunge wenu miaka 10 nini alibadilisha hapo Mjini?
Kama mnapenda Maendeleo chagua Tulia ila kama unapenda hadithi zisizo na msingi chagua Sugu na Chadema.
muite UNCLE SUGUBaada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Hospital ya Kanda,Kabadilisha nn???
Mbona nyie wapambavu mnoooo,, katika majimbo yote yalioyotoka wapinzani mengi yalikuwa yale yaliyoendelea hasa mijini vijijini walijaa chama tawala,,,Mbeya siyo jiji Ni Kijiji kubwa mno ,nawashanga[emoji6][emoji38] Sana wanaosifia mbeya
Back to siasa kama mbeya wanataka maendeleo ya kwelii bas waendelee tu kuwachagua wanna ccm uzuri pia wanaccm wengi Ni wasomi wa Hali ya juu hvyo nimatumaini yangu kuwa mbeya wasijichanganye wakamchagua sugu au mpinzani kwa Sasa
Hyo baraba ya njia nne mtasahau