Mkuu umeibuka. Ulipoteaga wapi?Watu wako busy na maisha,, siku hizi, anyway weka vindeo tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeibuka. Ulipoteaga wapi?Watu wako busy na maisha,, siku hizi, anyway weka vindeo tuone
Anayetangazwa mshindi, ndie mshindi!. The end justifies the means!. Kwenye the African democracy, ushindi does not depends on the vote cast, but the vote count!. Hivyo kama Dr. Tulia ameshinda kwa vote count akiwa just Naibu Spika!, akiwa Spika atapita bila kupingwa!.Duh kwa nafsi yako kabisa unaamini tulia alishinda Ubunge halali Mbeya...?
Mungu hadhihakiwi....
Kiukweli wengi humu ni very short sighted, wengine ni myopia!. Samia aliposema 2025 tunataka kusimamisha mgombea mwanamke, jee mnamjua ni nani?.mtafutieni Jimbo lingine , vinginevyo mtapoteza spika wenu
Samia hana sauti yoyote ndani ya ccm , hatuna haja ya kumuaminiKiukweli wengi humu ni very short sighted, wengine ni myopia!. Samia aliposema 2025 tunataka kusimamisha mgombea mwanamke, jee mnamjua ni nani?.
Open your eyes!.
P
Kiukweli wengi humu ni very short sighted, wengine ni myopia!. Samia aliposema 2025 tunataka kusimamisha mgombea mwanamke, jee mnamjua ni nani?.
Open your eyes!.
Huna lolote wewe , subiri posho tu , mtu ambaye hata chama chenyewe hakijui anawezaje kuwa na sauti ? ataburuzwa tu na akina Pinda , angalia timu iliyorudi madarakani baada ya yeye kuapishwaBrother unampigia mbuzi gitaa huyo jamaa kanywa maji ya bendera hasikii wala hambiwi.
Unatembea na kiwiliwili tu kichwa umewapa hao wa puuzi wenzio, wamekugeuza sigara kali wana kuwasha mbele na nyuma kwa maana wewe mwenyewe hujuelewi kama sigara kali.Huna lolote wewe , subiri posho tu , mtu ambaye hata chama chenyewe hakijui anawezaje kuwa na sauti ? ataburuzwa tu na akina Pinda , angalia timu iliyorudi madarakani baada ya yeye kuapishwa
Mkuu hii kitu imenishangaza sana , inakuwaje Raia anasimamisha shughuli mitaa yote ?
Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au RealJ ongwe kama anavyofahamika siku hizi, ama waweza kumtambua kama mfungwa wa kisiasa.
Kama masihara tu akaibuka kwenye soko la Igawilo ambako alienda kununua nyanya na vitunguu, yaani viungo mbalimbali zikiwemo karoti na pilipili hoho kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake, na baadaye wadau wakampeleka hadi eneo la kuchomea mishikaki, ili waitafune kidogo.
Basi bwana kufumba na kufumbua akajikuta amezungukwa na umati ambao haufahamiki ulikotokea! Hakika huyu jamaa anapendwa Mbeya Mjini! Kwa kifupi ni kwamba shughuli za soko ni kama zilisitishwa kwa muda kupisha Sugu anunue nyanya! Yaani ilifika wakati tukahofia kwamba huenda polisi wangevurumisha mabomu ya machozi, maana umati wake unazidi ule wa mechi ya Yanga dhidi Al Hilal ya Sudan kwa Mkapa.
Kwenye Hili nimejifunza jambo moja kubwa sana, kwamba usishindane na aliyejaaliwa, utadhalilika sana. Wazaramo wana msemo mmoja kwamba, "Acholile kachora".
View attachment 2395663
View attachment 2395664
View attachment 2395665
View attachment 2395668
Huku kwema mkuu, tunakimbilia shamba kupata japo mashina 2 ya mihogo ya chakula.Asante kwa Masahihisho , mimi ni mshamba kutoka huko kyela , sasa haya malugha yenu siyajui sana !
Habari za Kisemvule ?
Alie aribu sio tulia ni ccm mbeya chama kina matter sanaKwa nini? Wakati Kwa sasa ndio kuna nafuu na miradi inakuja kwa jina la Speaker..
Binafsi siwezi mchagua Sugu maana hana faida kwa Mbeya Wala Taifa.
Imeishaje ?Haaaaaaaaah nimecheka sana Huyu Sugu ambaye habari yake imeisha Mbeya
Mshikamano yote hiyo haizidi elfu 20Ni hivi , Mishikaki yote ilifagiliwa yaani !!
Walimpokea kwa shangwe wakijua atanunua vitu kibao kumbe fix tuWatu wako busy na maisha,, siku hizi, anyway weka video tuone