kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Hujui chochote kuhusu SUGU njia zote na lami zilizoingia mtaani ni kaka SUGU alisimamia akati ccm ilishindwa miaka yoote ya UhuruBasi hiyo ndiyo iliwaleta hapo,na Sugu alijua jinsi ya kuwatumia sababu ya ulafi wao wa nyama.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app