Manunuzi ya Subaru Forester

Huo msamaha wa Kodi Kama mtumishi wa umma sijawah kuusikia.

Wazoefu karibuni .

Extrovert
Upo mzee tena uwe makini sana unaponunua gari ya mfanyakazi wa serikalini maana ukienda kufanya transfer ya jina TRA unaweza kutakiwa ulipe pesa ndefu ya msamaha wakati inaingia TZ,kuna jamaa yangu alitakiwa alipe mln 4 ili abadilishe umiliki
 
Kama mtu una msamaha si bora uvute Harrier ya 2014 au kama Forester iwe 2017 hivi.

Vipi na wastaafu wanahusika?
 
[emoji3][emoji3]Sawa mkuu hamuwezi lingana wote
 
Kigezo kimoja wapo katika msamaha wa kodi ni umri wa gari usizidi miaka 10, agiza gari kuanzia 2015 na kuendelea.
Sikukatishi tamaa lakini kodi inayotolewa ni ushuru wa forodha (import duty) tu ni ndogo sana kodi nyingine zinabaki kama zilivyo.
 
Mkuu naona sasa umeamua kujilipua,unehama Toyota😁😁, japo hujacheza mbali na mjapani.
 
Huo msamaha ni wa kisanii sana unahusu import duty pekee halafu gari liwe chini ya miaka 10.
Gari zenye umri huo bei zimechangamka kwa hiyo unakwepa import duty bila unafuu
 
Zote hizo wanaenda kulipa faini za mahsksma ya ICSID
 
Habari kiongozi. Hiyo Forester uliyotoka kulipia ushuru 9.9M ni ya mwaka gani? Maana TRA calculator kwa Forester SH5 2010 inaonesha ni 11.7M.

Pia ningependa kujua Ushuru unalipia baada ya documents kufika au hadi gari ikifike?
 

Attachments

  • Screenshot_20240807_191409_Firefox.jpg
    516.3 KB · Views: 18

Mkuu nifafanulie hii imekaaje anataka kuagiza ya kutembelea hyo Subaru forester je itamgarimu bei gani akishapata huo msamaha
Hizo chuma zina horsepower kubwa so zinabugia sana wese mkuu....so jiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…