Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Upo mzee tena uwe makini sana unaponunua gari ya mfanyakazi wa serikalini maana ukienda kufanya transfer ya jina TRA unaweza kutakiwa ulipe pesa ndefu ya msamaha wakati inaingia TZ,kuna jamaa yangu alitakiwa alipe mln 4 ili abadilishe umiliki