Hii michezo ya Tanesco inajulikana toka zama za Msoga empire. Kulikuwa na IPTL na Richmond walichokuwa wanafanya sote tunakijuaš!
Kikubwa ni mtu anatafutiwa ulaji tu humo. Hio Arusha na moshi walikuwa wanatumia nini siku zote kabla ya tamko hilo? Au Makonda alikuwa analala gizani na raia wake?
Bwawa lile sio lenu tena jiandae kisaikolojia, sio mpaka mvujishiwe kila taarifa zilivyo kwa lazima utafutwe mbadala ndio huo tununue umeme Ethiopia huu wa Rufiji sio wa kwetukwamba umeme uliopo hapa tanganyika hautoshi au?
basi si bora yale majenereta ya kigoma myapeleke huko kaskazini kuongeza nguvu.kuliko kununua umeme.hyo ni dharau
wanakurupuka na story zao za vijiweniShida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania
Kama yule dogo ana kampuni inayohusu mambo ya umeme hayo baaaassss tumekwishaaa!Tu hakikishiwe ile kampuni aliyepo mtoto wa Mama Samia Abdul ya umeme haipo kwenye tender yeyote kuanzia huko Kenya
Bwawa sio letu kivipi jamani? Si lipo ndani ya mipaka yetu!?Bwawa lile sio lenu tena jiandae kisaikolojia, sio mpaka mvujishiwe kila taarifa zilivyo kwa lazima utafutwe mbadala ndio huo tununue umeme Ethiopia huu wa Rufiji sio wa kwetu
Sio kila kilichopo mikononi mwenu ni chenu, hata ardhi ipo kubwa sana ila sio yenu huwezi ukainuka ukavamia tu ardhi huko Songwe ukaanza kulima ukaulizwa unasema yetu yenu na nani sasa wenye ardhi wakija ndio utajua hapo utaelewa kwanini kila unachosema chenu sio chenu ni chao, chetu yetu haipo hioBwawa sio letu kivipi jamani? Si lipo ndani ya mipaka yetu!?
Ongea vizuri we mama mboni km hujasema vizuri ukaelelwekaJibsi Tanzaniannaa
Hii nchi inahitaji sana kuwa reformed sio kiuchaguzi tu hata kimgawanyo wa rasilimali. Haiwezekani bwawa limejengwa na matangazo kibao halafu mseme sio letu. Ndio maana Mwendazake aliwavuruga vuruga wawekezaji wahuni bora kulipa fidia kuliko kushikilia mikataba ya kinyonyajiSio kila kilichopo mikononi mwenu ni chenu, hata ardhi ipo kubwa sana ila sio yenu huwezi ukainuka ukavamia tu ardhi huko Songwe ukaanza kulima ukaulizwa unasema yetu yenu na nani sasa wenye ardhi wakija ndio utajua hapo utaelewa kwanini kila unachosema chenu sio chenu ni chao, chetu yetu haipo hio
Ndio ishakua hivyo tena hapo hakuna lingine la kufanya zaidi ya kununua umeme nje wakati rasilimali mnayo mnaiuza nyinyi mnabakia kutangatanga poor leadership skillsHii nchi inahitaji sana kuwa reformed sio kiuchaguzi tu hata kimgawanyo wa rasilimali. Haiwezekani bwawa limejengwa na matangazo kibao halafu mseme sio letu. Ndio maana Mwendazake aliwavuruga vuruga wawekezaji wahuni bora kulipa fidia kuliko kushikilia mikataba ya kinyonyaji
Hamna maana hata hivyo kuna haja gani sasa ya Stiglers?kama bado tunategemea kununua umeme?Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania
Sio letu vipi wakati ndio kauli mbio ya wale mabawana wa mitano tenaHii nchi inahitaji sana kuwa reformed sio kiuchaguzi tu hata kimgawanyo wa rasilimali. Haiwezekani bwawa limejengwa na matangazo kibao halafu mseme sio letu. Ndio maana Mwendazake aliwavuruga vuruga wawekezaji wahuni bora kulipa fidia kuliko kushikilia mikataba ya kinyonyaji
Wabunge wenye hawana ubavu wa kutoa hizi kelele bungeni. Tatizo linaanzia hapa.Ukweli mchungu kelele zitaishia mitandaoni...
Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga.Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania