adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Mimi naendelea kusema,Mtanzania ni mtu mwenye Roho mbaya sana.Hii michezo ya Tanesco inajulikana toka zama za Msoga empire. Kulikuwa na IPTL na Richmond walichokuwa wanafanya sote tunakijua😂!
Kikubwa ni mtu anatafutiwa ulaji tu humo. Hio Arusha na moshi walikuwa wanatumia nini siku zote kabla ya tamko hilo? Au Makonda alikuwa analala gizani na raia wake?
Kama tatizo ni service lines basi wazikarabati upya ili grid iwafikie. Kuna bwawa nyumba ya Mungu kwanini wasi utilize hilo bwawa😇?
Hasa hawa Viongozi wetu.
Ukimwangalia Msigwa siku akiwa pale Bwawani(Nyerere Dam) kama huna akili unaweza sema Umeme hakuna shida tena imeisha.
Ni watu wenye roho mbaya na wabinafsi ndio sifa zao hizo.
Wameshindwa kuboresha Nyumba ya Mungu?
Kuna Upepo wa Same pale mwingi na wa kutosha.
Kuna Upepo Singida hapo wa kutosha.
Umeme mwingi unapotea njiani..😀😀😀😀 hizi substation za kupoze na kuongeza nguvu zinafanya nini?
Huku kusini tu umeme bado mbugila mbugila aisee....
Roho mbaya ndio imetawala hakuna kingine.
