Manunuzi ya umeme wa Ethiopia ni wizi tusiwe wajinga!

Mimi naendelea kusema,Mtanzania ni mtu mwenye Roho mbaya sana.
Hasa hawa Viongozi wetu.

Ukimwangalia Msigwa siku akiwa pale Bwawani(Nyerere Dam) kama huna akili unaweza sema Umeme hakuna shida tena imeisha.

Ni watu wenye roho mbaya na wabinafsi ndio sifa zao hizo.

Wameshindwa kuboresha Nyumba ya Mungu?
Kuna Upepo wa Same pale mwingi na wa kutosha.
Kuna Upepo Singida hapo wa kutosha.

Umeme mwingi unapotea njiani..😀😀😀😀 hizi substation za kupoze na kuongeza nguvu zinafanya nini?

Huku kusini tu umeme bado mbugila mbugila aisee....

Roho mbaya ndio imetawala hakuna kingine.
 
Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania
Wewe ni Zuzu mwandamizi
 
Nimezielewa Sandals za Museveni.......😛
 
Adul ndiye hako kajamaa kafupi?
 
Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania
Sawa.. vipi tatizo la kupotea Kwa umeme kutokana na njia kuwa ndefu litapungua vipi ukilinganisha na umeme wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…