Manusura pekee wa Air India aongea kwa mara ya kwanza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Tofauti na ilivyokuwa inasemwa kwamba aliruka kupitia mlango wa dharura si kweli..
Kwa maneno yake mwenyewe baada ya ajali alitoka kwa miguu yake akitembea hadi nje alipokutana na ambulance na kumbeba
Alikuwa kakaa siti no 11A
Pia anasema sekunde chache kabla ya ajali aliona moshi ndani ya ndege.. Hivyo ni wazi tatizo lilianzia ndani

 
Hatalipwa kweli
Kila abiria atalipwa kwakuwa sharti mojawapo la kufanya biashara ya ndege ni hicho chombo kukatiwa bima kubwa
Manusura wana viwango vyao
Waliopata ulemavu wana viwango vyao
Marehemu wana viwango vyao... Kwa wale waliokufa familia nzima.. Warithi wao ndio watafaidika
Matibabu yote yatabebwa na bima
Mizigo iliyokuwa 'declared' italipwa nk
 
Ile ya kule Bukoba ,watu walishaweka chao mfukoni?????
 
Air Tanzania
🥺🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿

 
Mkuu Mshana Jr . Hili la kuruka wataalam wengi walishalikataa tangu uvumi ulipotoka. Hata mimi halikuniingia kwenye akili. Asingepona. Ukweli ni kwamba ''he was just at the correct place at the wrong time''. Unajua ajali inapotokea hata mhusika wa ajali anaweza kupata kiwewe na kujikuta anazungumza mambo ambayo hayakutokea. Pia wasikilizaji wanaweza ku-interpret kivingine mambo anayosema.
 
Waliokuwa wanaeneza huo uvumi wanadhani ndege ni kama gari na angani ni kama barabarani
 
Ndege za India nyingi ni mbovu mno....yaani kama madaladala ya kwenda Kisemvule huko.
MAYDAY.. MAYDAY...MAYDAY..

Iliita simu ya inayohitaji kushughulikia dharura kutoka kwa mnara wa Uwanja wa Ndege wa Ahmedabad na rubani wa Air India.

Ndege ya Air India AI171, iliyokuwa ikielekea Gatwick ikiwa na watu 242, ilianguka sekunde 30 baada ya kupaa.

Ndege hiyo aina ya Boeing 787-8 (ya usajili VT-ANB), ilikuwa imetoka kupaa na kushindwa kupanda kwenda juu na hatimaye kuanguka, na kuwa ajali ya kwanza mbaya iliyohusisha aina hii ya ndege.

Ingawa sababu kamili bado haijajulikana na itakuwa chini ya uchunguzi wa kina, hata hivyo, dalili za mapema zinaonesha upotevu wa nguvu za injini.

Katika muhtasari wa mamlaka ya anga ya India Jumamosi, viongozi walithibitisha kwamba Kapteni Sumeet Sabharwal, ambaye alikuwa akiongoza ndege hiyo, alituma wito wa dharura kwa waaongiza ndege kwa muda mfupi kabla ya ndege kuanguka.

Vyanzo vya habari vilisema ujumbe wa mwisho kutoka kwa nahodha kwa ATC ulikuwa mfupi wa sekunde tano.
Ujumbe ulikuwa;

‘Mayday… mayday… mayday… No Power… No thrust…Unable to Climb ’.

Ikitafsiri kwa haraka kama;
Dharura...Dharura..Dharura..
hakuna nguvu...hakuna msukumo...siwezi kunyanyuka'.

Wakati waongoza ndege walipojibu simu ya dharura ya marubani, "hakukuwa na jibu", alisema Samir Kumar Sinha, katibu wa wizara ya anga ya India.

Alisema ndege hiyo ilianguka sekunde chache baadaye.
 
“I Opened My Seatbelt And Got Out Of There” — British Survivor Of Air India Plane Crash Gives His Shocking Account Of The Disaster

The sole survivor of yesterday's deadly Air India plane crash has shared his shocking account of the disaster before it exploded into a huge fireball.

Briton Vishwash Kumar Ramesh, 40, miraculously survived the plane disaster that had 242 passengers and crew on board.

Mr Ramesh, who lives in London with his wife and child, is being treated at a hospital in the northwestern city of Ahmedabad, where he told doctors that immediately after the plane took off, it began descending and suddenly split in two, ejecting him before there was a loud explosion.

Dr. Dhaval Gameti, who examined Mr. Ramesh, told the Associated Press that he was disoriented with multiple injuries all over his body' but that he 'seems to be out of danger.'

Speaking to Indian broadcaster Doordarshan, Mr Ramesh said: 'I don't know how I came out of it alive. For a while, I thought I was about to die. But when I opened my eyes, I saw I was alive. And I opened my seatbelt and got out of there,' adding how two cabin crew members 'died before my eyes.'

His seat was placed right next to the emergency door, which he says came off when the plane hit the ground.

Mr. Ramesh recalled how the pilots tried to raise the jet, but it 'went full speed and crashed into the building'.

Footage taken near the crash site yesterday showed Mr Ramesh with visible injuries walking away from the jet before he was rushed to hospital for treatment.

Mr Ramesh, whose brother was also on the flight and is presumed dead, described yesterday how he heard a 'a loud noise' before the plane crashed.

'When I got up, there were bodies all around me. I was scared. I stood up and ran.

'There were pieces of the plane all around me. Someone grabbed hold of me and put me in an ambulance and brought me to the hospital.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…