Manusura pekee wa Air India aongea kwa mara ya kwanza

Manusura pekee wa Air India aongea kwa mara ya kwanza

Huo ndo ukweli, yule jamaa hata haelewi anachokisema. Amenusurika mwili ila akili haijanusurika, na the more anahojiwa ndivyo anatoka taarifa zisizoeleweka. Sidhani kama utapata taarifa sahihi kutoka kwake.
Mkuu hata wataalam wamelisema hili. Wamesema mtu aliyepitia kwenye ajali kama hiyo anaweza asiwe chanzo sahihi sana cha kuaminika. Walisema wamaepata zile back box nadhani zitatoa mwanga zaidi.
 
Mu
Kinadharia, nadhani baada ya ndege kujibamiza, eneo lake yeye na kiti alichokalia lilirushwa na msukumo kama kipande kilichovunjika, kabla ya ndege kulipuka akaangukia kwa pembeni mbali kiasi, akikingwa na kiti chake hicho na kuchubuka kiasi, akafungua mkanda na kuondoka(jambo pekee analolikumbuka) , hivyo kulipuka kwa ndege hakukuathiri haraka eneo alikorushwa... Hiyo ndiyo ponapona yake na si kwa umahiri wake wa kucheza filamu za kihindi.

Kila kitu kilifanyika ndani ya sekunde chache kwa kasi kubwa ambayo akili haiwezi kunakili kinachofanyika.
Mungu mwema!
 
Back
Top Bottom