Jamaa ni mfano wa Lisu, yani watu wote wanakufa anabaki yeye.
Nilitamani Saa100 angekuwemo.Jamaa ni mfano wa Lisu, yani watu wote wanakufa anabaki yeye.
Wangekua manusura wawili au sio 😁Nilitamani Saa100 angekuwemo.
Walishalipwa 300mln marehemu.Ile ya kule Bukoba ,watu walishaweka chao mfukoni?????
MmmhWalishalipwa 300mln marehemu.
Ile kesi ilishamalizika ili walipweWalishalipwa 300mln marehemu.
Walishalipwa 300mln marehemu.
Kumbe kupata ajali kwenye ndege ni raha hiviKila abiria atalipwa kwakuwa sharti mojawapo la kufanya biashara ya ndege ni hicho chombo kukatiwa bima kubwa
Manusura wana viwango vyao
Waliopata ulemavu wana viwango vyao
Marehemu wana viwango vyao... Kwa wale waliokufa familia nzima.. Warithi wao ndio watafaidika
Matibabu yote yatabebwa na bima
Mizigo iliyokuwa 'declared' italipwa nk
Kwahiyo huyo jamaa aliyesurvive ni black?Watu weusi India wanabaguliwa sana, sasa Mungu kawaonyesha Wahindi kwamba yeye ni Mungu anaweza kumuokoa mtu kwenye janga kubwa na habagui rangi
Kuanzia sasa uwe unapanda Precision Air au India Airlines sawa mkuu?Kumbe kupata ajali kwenye ndege ni raha hivi
Mkuu kama siku imefika imefika tu. Hatuwezi kuahirisha safari kama familia kwakuogopa ajari ya pamoja. Cha kwanza usiweke imani ya ajari ingawa ni vyema kuiombea safari na kuiweka mbele za Mungu kuepuka hujuma za kibinadamu na kiroho upande wa giza.Umesahau kusafiri familia moja nayo ni big risk sana
Lakini Boeing 787-8 dreamliner sio ndege chakavu.Ndege za India nyingi ni mbovu mno....yaani kama madaladala ya kwenda Kisemvule huko.