adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Mimi nina ushuhuda wangu mkuu..car crash hii June 3..gari ilipinduka 3 times.Ajali ya ndege ya Air India imetufundisha masomo mengi ya maisha yenye nguvu.
Kwanza, kulikuwa na familia iliyokuwa imepanga kuhamia Uingereza. Ndoto hiyo ilipangwa kutimia miaka sita iliyopita, lakini kutokana na kucheleweshwa na kuweka mambo mengine mbele, iliendelea kuahirishwa.
Hili linatukumbusha kwamba mara nyingi tunabeba majukumu na ndoto nyingi kwa ajili ya baadaye — lakini haijalishi ni kiasi gani tumepanga, wakati wetu ukifika, kila kitu kinapoteza maana.
“Tunabeba vitu vingi kila siku kwa ajili ya baadaye, lakini wakati wako ukifika, hakuna kitakachojali tena.”
Pili, kulikuwa na mwanamke ambaye alipaswa kuwa kwenye ndege hiyo. Alifika amechelewa na alisisitiza kuruhusiwa kupanda, lakini hakuruhusiwa. Alivunjika moyo sana mwanzoni — hadi aliposikia kuhusu ajali hiyo.
“Wakati mwingine, kile tunachokitaka si kile kilicho bora kwetu, na kile tusichokitaka ndicho hasa tunachohitaji. Haikuwa wakati wake. MwenyezMungu alimwokoa kweli.”
Tatu, kulikuwa na mwanaume aliyenusurika. Alitupwa nje kwa sababu ndege ilipasuka mara mbili — na kwa miujiza, alinusurika.
Kwa kifupi, haikuwa wakati wake.
Hivyo, maadamu uko hai, una afya, na bado unapumua — usisubiri kesho ili utafute furaha,
fanya sasa.
Maadamu bado una muda.View attachment 3369142
Hii sijuwi ilikuwa ina hitilafu ganiLakini Boeing 787-8 dreamliner sio ndege chakavu.
So aliyeokolewa ni black Mkuu ?.Watu weusi India wanabaguliwa sana, sasa Mungu kawaonyesha Wahindi kwamba yeye ni Mungu anaweza kumuokoa mtu kwenye janga kubwa na habagui rangi
Huna Tv hata smartphone unatumia nini kutype huku?So aliyeokolewa ni black Mkuu ?.
MweusiMhindi
Imezuiwa Kuruka Nje Ya Anga La TanzaniaAir Tanzania
We mjinga Sana Mkuu tumekuuliza hivyo kwakuwa hauna akiliHuna Tv hata smartphone unatumia nini kutype huku?
Hujamwona ni mweusi?
Kwahiyo sisi hatuwezi kutofautisha mweusi na kanjibaiMweusi
Huo ndo ukweli, yule jamaa hata haelewi anachokisema. Amenusurika mwili ila akili haijanusurika, na the more anahojiwa ndivyo anatoka taarifa zisizoeleweka. Sidhani kama utapata taarifa sahihi kutoka kwake.Mkuu Mshana Jr . Hili la kuruka wataalam wengi walishalikataa tangu uvumi ulipotoka. Hata mimi halikuniingia kwenye akili. Asingepona. Ukweli ni kwamba ''he was just at the correct place at the wrong time''. Unajua ajali inapotokea hata mhusika wa ajali anaweza kupata kiwewe na kujikuta anazungumza mambo ambayo hayakutokea. Pia wasikilizaji wanaweza ku-interpret kivingine mambo anayosema.
Kitu kimoja kwa hakika alijikuta yuko njeHuo ndo ukweli, yule jamaa hata haelewi anachokisema. Amenusurika mwili ila akili haijanusurika, na the more anahojiwa ndivyo anatoka taarifa zisizoeleweka. Sidhani kama utapata taarifa sahihi kutoka kwake.
Kinadharia, nadhani baada ya ndege kujibamiza, eneo lake yeye na kiti alichokalia lilirushwa na msukumo kama kipande kilichovunjika, kabla ya ndege kulipuka akaangukia kwa pembeni mbali kiasi, akikingwa na kiti chake hicho na kuchubuka kiasi, akafungua mkanda na kuondoka(jambo pekee analolikumbuka) , hivyo kulipuka kwa ndege hakukuathiri haraka eneo alikorushwa... Hiyo ndiyo ponapona yake na si kwa umahiri wake wa kucheza filamu za kihindi.Kitu kimoja kwa hakika alijikuta yuko nje
Watakuwa bado wanapigwa danadanaIle ya kule Bukoba ,watu walishaweka chao mfukoni?????
Imetokea lini hiiAjali ya ndege ya Air India imetufundisha masomo mengi ya maisha yenye nguvu.