Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
MSIENDE!!! OVAMabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
Hao mataahira bado wanafikiri tuko enzi za utumwaMabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
Ukitaka kwenda kusoma arabuni inapimwa vyote,kwa Gaddafi ilikua ukikutwa na malaria unarudishwa,wao UKIMWI hawana,wanajua unaweza kutiana na mmoja waoHivi lengo la kuwapima hawa wadada wa kazi vvu na magonjwa mengine ya zinaa ni nn?
Kama sio kutaka kuwanyatia usiku ?
Waarabu bado wanafikra za zama za watumwa na ubaguzi,
Especially kwa mtu mweusi.
Kuna duu mmoja jirani aliendaga uko anasema kabla ya kuingia huko unafanyiwa vipimo vyote vya magonjwa ya kuambukiza.Hivi lengo la kuwapima hawa wadada wa kazi vvu na magonjwa mengine ya zinaa ni nn?
Kama sio kutaka kuwanyatia usiku ?
Waarabu bado wanafikra za zama za watumwa na ubaguzi,
Especially kwa mtu mweusi.
Bob nelly, kwani hili ni jukwaa la michezi?MANYANYASO YAMEKUZIDI MPAKA UNAKUJA WEKA KWENYE JUKWAA LA MICHEZO
mwanzo ilikua kwenye jukwaa la michezo naona moderetor... wamehamishaBob nelly, kwani hili ni jukwaa la michezi?
Kwl kabisa,,Kuna duu mmoja jirani aliendaga uko anasema kabla ya kuingia huko unafanyiwa vipimo vyote vya magonjwa ya kuambukiza.
#MaendeleoHayanaChama
Ngoja sasa mfungo uisheUkifika mwezi mtukufu wanavyofunga utadhani watu kumbe ni............!