Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Nchi zao rate ya HiV ni ndogo sana sababu ya kutunza maadiliHivi lengo la kuwapima hawa wadada wa kazi vvu na magonjwa mengine ya zinaa ni nn?
Kama sio kutaka kuwanyatia usiku ?
Waarabu bado wanafikra za zama za watumwa na ubaguzi,
Especially kwa mtu mweusi.
,sasa waache kupima Ili wakaue raia wao. HIV haimbukizwi kwa ngono tu hata factor zingine pia.