Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Wafungwe jela kila mmoja wao kifungo kilingane na umri wake
 
Wafungwe jela kila mmoja wao kifungo kilingane na umri wake
 
Sasa Kilimanjaro ndio Uko Manyara? Ni zaid ya makanjanja wale wakosa akili wao wamemiliki Tekno za kutupa pale Manzese washakua waandish..uandishi ni kaz kama kaz nyngne au nasema uongo ndugu zanguuuh
Kaandika Simanjiro pakajimmy we
 
Watashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.

Kipindi hiki TBL wanauza aisee.... usipime!!
Ni kawaida ya kila msiba kula na kunywa hasa ikikuta mwenye msiba ni tajiri
 
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!

Kila mtu ana namna yake ya kupokea na kuomboleza msiba, wewe kama wa kununa na kulia lia, wengine ni wa kucheka na kuimba pia.
 
 
Cc Erythrocyte
 
Na walioshangalia kifo cha Membe wakamatwe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…