Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mwisho tutalazimishwa watu wote tuvae kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani kwenu JFWatashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.
Kipindi hiki TBL wanauza aisee.... usipime!!
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Mbona Ameandika Simanjiro na Sio Kilimanjaro golo weweKilimanjaro Inahusika Vipi Na Manyara Sasa?
Taarifa Nyingine Mnafanya Tuzione Chumvi.
Kaandika Simanjiro pakajimmy weSasa Kilimanjaro ndio Uko Manyara? Ni zaid ya makanjanja wale wakosa akili wao wamemiliki Tekno za kutupa pale Manzese washakua waandish..uandishi ni kaz kama kaz nyngne au nasema uongo ndugu zanguuuh
Ni kawaida ya kila msiba kula na kunywa hasa ikikuta mwenye msiba ni tajiriWatashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.
Kipindi hiki TBL wanauza aisee.... usipime!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]pyeeee!mfyuu babako..
CCBRT Wanakazi Na WeweMbona Ameandika Simanjiro na Sio Kilimanjaro golo wewe
Hahaha Mkuu we katiliWafungwe jela kila mmoja wao kifungo kilingane na umri wake
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
www.jamiiforums.com
Cc ErythrocyteWakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21, huku bendera zikipepea nusu mlingoti.