Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

hata Yesu Kristo Mwana wa Mungu alisulubiwa na kukejeliwa Sana, hivyo siwashangai wanaokosa 'ustahimilivu' wa kisiasa kushangilia kifo cha mwenzao.
RIP JPM
 
Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?
Ukinijibu hapo nitakuelewa.
Lastly ubaya hulipwa kwa wema ili hadi wengine waone ubaya uliotendewa. Ukilipwa kwa ubaya watu wataona wewe ndiye uliye na makosa.
Tujifunze kusamehe. But sorry kama nimekuudhi.
Mtu aue ndugu zetu eti tumsamehe kweli?mbn yy alikuwa hataki kuwasamehe waliomkosea?dawa ya moto ni moto aiseee
 
wajeremani waliposikia Hitler amekufa nadhani kulikuwa na hali kama tunayoiona sasa baada ya jiwe kurudi mavumbini
 
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
yeye alikuwa na roho nzuri?

hajawahi kuchunguza shutuma zozote za mauaji, hakujali hata kidogo... watu wamefungwa detention miaka miaka mitano, hajali, wasaidizi wake wamekufa na korona yeye anasema tuko vizuri tisivae barakoa, anajali watu huyo?
 
yeye alikuwa na roho nzuri?

hajawahi kuchunguza shutuma zozote za mauaji, hakujali hata kidogo... watu wamefungwa detention miaka miaka mitano, hajali, wasaidizi wake wamekufa na korona yeye anasema tuko vizuri tisivae barakoa, anajali watu huyo?
Angechunguza vp wakati ni yeye aliyekuwa anapanga hizo njama za mauaji na bila kificho kwa kauli na matamshi aliyokuwa anayatoa ni wazi kabisa kwamba yeye ndio mpangaji wa hayo mauaji so binafsi sijaguswa hata kidogo and watu wanakwenda weng kumuaga lengo ni kuhakikisha kama kweli kakata moto achelewi kufufuka yule unacheza malaika (jokes)!!!!!!!!😀😀😀
 
Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
Sasa utatofautishaje Kati ya upinzani na ccm Kama wote wanamatendo yanayofanana. Ccm akitukana wapinzani wanalipiza, ccm wakichekelea kifo upinzani nao wanalipiza, mtu apende au ahamie upinzani kwa jema gani kutoka upando huo? Tulitegemea upinzani wawe mfano Mambo kutenda Mambo chanya na sio kulipa visasi
 
Mtu aue ndugu zetu eti tumsamehe kweli?mbn yy alikuwa hataki kuwasamehe waliomkosea?dawa ya moto ni moto aiseee
Sasa utatofautishaje Kati ya upinzani na ccm Kama wote wanamatendo yanayofanana. Ccm akitukana wapinzani wanalipiza, ccm wakichekelea kifo upinzani nao wanalipiza, mtu apende au ahamie upinzani kwa jema gani kutoka upando huo? Tulitegemea upinzani wawe mfano Mambo kwa kutenda Mambo chanya na sio kulipa visasi
 
Hakuna sheria kama hiyo...

Ni kama vile hakuna sheria inayokulazimisha kucheka au kulia msibani...
 
Lkn sio uungwana.
Lissu alivyopigwa risasi watu walikatazwa kumuombea. Wabunge wa CCM walipigwa stop kwenda kumtembelea hospitalini Nairobi.

Polisi waliompiga risasi binti yangu Aquilina wanatamba mitaani hadi dakika hii as if aliyeuawa ni digidigi tu.

Waziri mmoja alipoulizwa kuhusu whereabouts za Azory akajibu "many others like him have disappeared and died" utadhani anaongelea mende, nzi au mbu.

Hiyo ndiyo context ya vifijo na nderemo za wananchi walio wengi kwa wakati huu!
 
Back
Top Bottom