Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki chuki katika taifa letu,tupendane,hata unaye amini ni adui yako mwombee mema.Nimwendawazimu ambaye atafurahia kifo cha Hayati JPM.Kuhudumia msiba ni gharama kubwa.Hizo hela za kuhudumia msiba zingeenda Kwenye miradi mbali mbali,au kuhudumia wananchi.Ukiona mtu anafurahia msiba huu ujue ni mwendawazimu,mwehu kabisa.serikali lazima ipate mtikisiko mkubwa na hii inaitaji gharama kuweza kustabilize.Anayefurahi msiba hafai anapaswa kuchukiwa milele.siyo mzalendo hata kidogo kwa nchi yake.Imagine mtu anasema eti mwanga umeanza kuonekana.Mtu kama huyo ni muuaji. HAFAI LEO,KESHO AU KESHO KUTWA kwa vizazi vyote.
Aliyefaidika na huu utawala jaman asikitike , tusilazimishane
Mtu kama wewe ni mwendawazimu
Kulia ni lazimaKwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Wewe unalia kwa furaha tunakujuaKwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Wanataka kutulazimisha kupenda wanavyotaka wao jambo ambalo ni kinyumeNi kuwaonea tu. Walitakiwa wafanyeje kama hawataki kuwa wanafiki?
Kwani kuomboleza lazimaWakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21, huku bendera zikipepea nusu mlingoti.
[emoji23][emoji23][emoji23] kufa kufaanaHata mume wa mama samia anashangilia kaukwaa urais kivuli ghafla
Hahahha hat mama samia kaumia sana aseeHata mume wa mama samia anashangilia kaukwaa urais kivuli ghafla
Atokee mtu mwenye uhakika 100% anawez kumfufua Magu je? Mama samia na mawaziri watakubali?Kwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Nani kakueleza ulie iwe kwa kupenda au kwa lazima?Inamaana kila msiba huwa unskuhusu?Kwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.