wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Yule mwehu tuu ameishiwa pumziKwani Elitwege anasemaje kuhusu ili?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mwehu tuu ameishiwa pumziKwani Elitwege anasemaje kuhusu ili?
Tumuulize Nyani Ngabu aliyefurahia kichapo alichopewa Lissu.Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?
Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.
Yaani hawa vija wa siku hizi hawafaiKwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Tutapata tu usihofu, na hawatakosa kuadhibiwa!Tukienda na hoja hii mahakamani nini kitakuwa tafsiri kwa kosa kisheria?
Aisee washangilie kimoyo vinginevyo wengine tuna machungu sana tukiwagundua tunaweza pita nao bure tukaongeza makaburi Tz!Chuma kimelala maisha lazima yaendelee. Wakushangilia ashangalie na wa kuhuzunika wahuzunike..! Usimpangie mtu kuonesha hisia zake.
Kwan heshima ni lazima?Lkn utaanzaje kushangilia kifo cha mwenzako??
Kisheria sijui but kiheshima tu si vzr kushangilia msiba mana huwezi jua badaye yako.
Ni zile zilizopo kwenye kiapo alicho kila Samia jana! Siwapangii chochote ndugu usini 'misqoute'!Acha tabia ya kupenda kuwapangia watu. Tamaduni na desturi gani unazo ziongelea? Wakati huyo shujaa wenu anawajeruhi na kuwaua wengine kupitia maamuzi yake ya hovyo, alikuwa analia au alikuwa anafurahia?
Mkuki kwa nguruwe eeeh!! Vumilieni tu maana hakuna namna. Ni zamu yenu sasa kulia huku wengine wakifurahia.
😂😂Mimi na familia yangu tunaua kuku tu hapa, msitusumbue
Ni zile zilizopo kwenye kiapo alicho kila Samia jana! Siwapangii chochote ndugu usini 'misqoute'!Acha tabia ya kupenda kuwapangia watu. Tamaduni na desturi gani unazo ziongelea? Wakati huyo shujaa wenu anawajeruhi na kuwaua wengine kupitia maamuzi yake ya hovyo, alikuwa analia au alikuwa anafurahia?
Mkuki kwa nguruwe eeeh!! Vumilieni tu maana hakuna namna. Ni zamu yenu sasa kulia huku wengine wakifurahia.
Magu alikuwa anaweka tabasamu kwa walioonewa na kuleta kunyanzi kwa waonezi! Ni kazi ngumu sana hiyo iliyofanywa na chuma na tunapaswa kumheshimu na kumpenda kwa hayo!Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
Kuna kipindi Watanzania wenye asili ya Rwanda waishio Mwanza walifanya sherehe baada ya aliyekuwa Raisi wa Rwanda Hayati Juvenali Habyarimana kufariki mwenye ajali ya NdegeNimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?
Mbona Wajaluo tuna cheza na muziki?Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?
Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.