Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
Ukinijibu hapo nitakuelewa.
Lastly ubaya hulipwa kwa wema ili hadi wengine waone ubaya uliotendewa. Ukilipwa kwa ubaya watu wataona wewe ndiye uliye na makosa.
Tujifunze kusamehe. But sorry kama nimekuudhi.