Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunafurahi kwa Mama kuwa Madam President, haijalishi ni CCM au...Yani Hapa kuna jamboo litakujaa mnaweza semaa Hivi Mama Samia roho mbaya hii kaitoa wapi???? Lakini kitu ninachoweza kuwaambia watu Ufisadi kurudi na wizi wa mali za watanzania ni rahisi sana kuliko Kuondoa sheria kandamizi za Habari na Uhuru wa kutoa maoni... Watu wataumia sanaa tu maana Nchi ipo chini ya CCM na Kwa bongo Rais pekee alieweza kufanya mambo kinyume na matakwa na akili za CCM ni Magufulu tu waliobaki hawa Hawana la kusema against maamuzi ya CCM kabisa.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Kilimanjaro Inahusika Vipi Na Manyara Sasa?
Taarifa Nyingine Mnafanya Tuzione Chumvi.
Chanzo ni wewe mwenyewe na sio JFChanzo JF
Vip alikuwa mnoko eeh???Siku Margaret Thatcher alikufa watu walikesha barabarani wakinywa pombe, mpaka tukio la msiba lilikosa coverage.
Weee alikuwa hapendi weusi eeh?Hakua mpenzi wa kila mtu. Alisitisha ujenzi wa nyumba za council kwakua ndiyo lilikua kimbilio la weusi wahamiaji. Matokeo yake idadi ya wazungu wanao lala barabarani iliongezeka.
Weusi hatulali barabarani, hata kwa Mseralione atakuweka sebuleni mpaka ukae sawa.
Hao wangewatenganishia shingo na vichwa tu mambo mengine yaendelee! Si kwa kiwango cha kukosa uzalendo wa level hiyo! Wanaachiwa vichwa kwa faida ya nani!Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21, huku bendera zikipepea nusu mlingoti.
watu hawawezi kuwa na roho mbaya bila sababu, jiulize hilo ukipata Jibu rudi tena hapaIla wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Ushahidi uko wapi kuwa wameshikwa watu kwa kushangilia!Ushahidi uko wap kama kweli wameshangilia
Ni utu kusikitikia kifo chochote. Wachawi tu hushangilia kifo!Kwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Mbona Lissu wana CCM wanashangilia na kumkejeli hadi leo?Siku Margaret Thatcher alikufa watu walikesha barabarani wakinywa pombe, mpaka tukio la msiba lilikosa coverage.