Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Korea kaskazini walifanya kitu kama hiki alipokufa Kim jong li ambaye ni baba wa Kim jong un rais wa sasa, walikua wanaangalia wananchi waliojipanga pembeni ya barabara wakati maiti inapita kama hutoi machozi unakamatwa.
Mungu anaipenda sana Tanzania katuepushia mengi!
 
Sijawahi kujutia imani yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.
Kipindi hiki TBL watauza aisee!!
Hapa kwetu mpaka nyumba zenye bendera ya ccm na wanajeshi wastaafu wameweka kijiwe cha bia tangu juzi hawalali, sijaua kwa nini lakini tunahitaji sana busara kipindi hiki ili kuponya vidonda na chuki kwenye mioyo ya watu
 
Watashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.
Kipindi hiki TBL watauza aisee!!
Mtaa upi huo nduguyangu hata huhisi aibu?
Dah kweli ushabiki ni kitu kibaya sana.

Labda mtusaidie uko mtaani kwenu mzee aliwakosea nini
 
Hebu wawe na hekima kidogo, wameshabikia 8 wamelia laki 8, si waache yapite?!
Binadamu huwezi pendwa na kila mtu!
Manabii na mitume wenyewe na mitume hawakupendwa na wote, sembuse. Ni kawaida!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Alafu sasa wakiulizwa kwanini wanashangalia, majibu Yao yanaweza kukuacha hoi kwa ujinga waliopandikizwa na walabata wa ulaya.
 
Alafu sasa wakiulizwa kwanini wanashangalia, majibu Yao yanaweza kukuacha hoi kwa ujinga waliopandikizwa na walabata wa ulaya.
acha ufala alif chuki haipandikizwi inakuja automatically tu usiwasingizie watu jiwe alipandikiza chuki mwenyewe kwa mioyo ya watu vikaragosi wake kama wewe hapo mlikua na double standard za wazi wazi kitu kilichowatia hasira baadhi ya wa wapenda haki wa hii nchi !
 
Yani Hapa kuna jamboo litakujaa mnaweza semaa Hivi Mama Samia roho mbaya hii kaitoa wapi???? Lakini kitu ninachoweza kuwaambia watu Ufisadi kurudi na wizi wa mali za watanzania ni rahisi sana kuliko Kuondoa sheria kandamizi za Habari na Uhuru wa kutoa maoni... Watu wataumia sanaa tu maana Nchi ipo chini ya CCM na Kwa bongo Rais pekee alieweza kufanya mambo kinyume na matakwa na akili za CCM ni Magufulu tu waliobaki hawa Hawana la kusema against maamuzi ya CCM kabisa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Haaahaaahaa waje na huko hao jamaa
Watu wanapiga bia na kejeri za kuzidi kwa kiongozi wa malaika,ila watu walivulugwa kwenye utawala wake aisee hii chuki wanayoionesha kama taifa tulifika kubaya sana aisee sijawahi experience before!
katufikisha pabaya sana bora amekufa huko mbele yangetokea machafuko makubwa
 
Je kama ni watani wa kabila la marehemu. Mie niliona watani wakati wa kumzika baba mkwe walileta taji kubwa sana la roses fresh na wakati wakuweka taji walienda na vigelegele vya ukweli na walivyo maliza wakawa wanasogea huku wana mlaumu wafiwa kuwa marehemu wamemzika kimasikini bora hiyo kazi wangepewa wao

Pia wakati wa kuzungumzia huu msiba bora kuva😷😷 ili kulinda hisia zako hata kama ni za kinafiki
 
Back
Top Bottom