Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?
Ukinijibu hapo nitakuelewa.
Lastly ubaya hulipwa kwa wema ili hadi wengine waone ubaya uliotendewa. Ukilipwa kwa ubaya watu wataona wewe ndiye uliye na makosa.
Tujifunze kusamehe. But sorry kama nimekuudhi.
 
Bahati mbaya hata Nyerere alipokufa mwaka 1999, kuna wadau kama Mchungaji Christopher Mtikila (na yeye ameshatangulia mbele za haki) walimkejeli na kumcheka hadharani!

Hivyo hakuna jipya katika hili. Huwezi kupendwa na kila mtu. Magufuli alitengeneza maadaui wengi sana enzi za utawala wake. Hivyo ni vyema tukajifunza kuishi kwa kutenda mema hapa duniani. Ubinafsi, uonevu, ubaguzi, nk. Ndivyo huzaa aina hizi za chuki.
 
Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?

Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.
Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!
 
Hao watu wanashangilia nini sasa wakati hata huyo wanaefurahia kifo chake hatambui lolote.
 
Hapa umeongea point mkuu👏
 
Bora mkuu umejiondoa kwenye unafiki,unaambiwa "kataa kuwa mnafiki uonekane una roho mbaya!"
 
Kikwetu mtu amifa no dhawabu, hivyo hatupaswi kuwa na huzuni bali tunashangilia kwa mucheza na kunywa na kupiga muziki.
 
Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!
Acha tabia ya kupenda kuwapangia watu. Tamaduni na desturi gani unazo ziongelea? Wakati huyo shujaa wenu anawajeruhi na kuwaua wengine kupitia maamuzi yake ya hovyo, alikuwa analia au alikuwa anafurahia?

Mkuki kwa nguruwe eeeh!! Vumilieni tu maana hakuna namna. Ni zamu yenu sasa kulia huku wengine wakifurahia.
 
Kila mtu amejaliwa kivingne katka maombolezo nivigumu kuamini kuwa kukunja uso,kutopaka mafuta uso,kubadili sauti,kunyamaza kimya iwe ni vgezo vya mtu kuomboleza wengine hawawezi unafiki
 
Lkn utaanzaje kushangilia kifo cha mwenzako??
Kisheria sijui but kiheshima tu si vzr kushangilia msiba mana huwezi jua badaye yako.
Kwahiyo kama moyo wangu unatamani kufurahia nijilazimishe kuhuzunika?

Sitaki kuaibika kama wanamuziki fulani wamejirecord wakilia mimi
 
Hao wangewatenganishia shingo na vichwa tu mambo mengine yaendelee! Si kwa kiwango cha kukosa uzalendo wa level hiyo! Wanaachiwa vichwa kwa faida ya nani!
Chuma kimelala maisha lazima yaendelee. Wakushangilia ashangalie na wa kuhuzunika wahuzunike..! Usimpangie mtu kuonesha hisia zake.
 
Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?

Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.
Kwakweli Mh. Rais Samia anatakiwa aanze ku-deal na watu kama Kunenge RC wa Dar kwa tangazo alilolitoa jana kwamba hakuna sherehe yoyote itakayofanyika ndani ya siku 21 za maombolezo.

Mitabia ya hovyo ya kujikomba, kujipendekeza na kinafiki ya watu kama akina Kunenge inabidi ikomeshwe kwa kufanya mambo bila kufuata taratibu na kanuni, hili taifa sio kama the Banana Republic linaongozwa kwa taratibu na kanuni.

Hili taifa haliendeshwi kidikiteta linaendeshwa kwa taratibu na sheria. Kama kuna sheria ipo ya namna hivyo basi RC Kunenge tuambie. Nyie watu kama akina Kunenge ndio mliokuwa mnamharibia hata Rais wetu mpendwa Magufuli kwa maamuzi yenu ya hovyo mpaka ikawa inajulikana kama Mh. Rais kawaambia mfanye hivyo kumbe sio.

Nakuomba Mh. Samia kuwa makini sana na watu kama hawa ambao wanafanya maamuzi kwa mzuka. Tunasema Uongozi ni; sheria, taratibu na kanuni and nothing more nothing less!!!
 
Back
Top Bottom