Manyara: Ahukumiwa kifo baada ya kunyonga mkewe na mtoto baada ya mkewe kumkatalia kuongeza mke wa pili

Ilitakiwa ajiue nae baada ya kuua wenzake kama alijiona ana hasira
 
Duh kukosa kuoa tu hadi afanye hayo?
 
 
hivyo hukumu ya kunyongwa ipo na inatekelezeka kweli??au wanapelekwagwa kimyakimya.....ila huyu jamaa anaroho ngumu sana kha
 
Ni kweli uko sahihi.
Lakini pia, mke hakua sahihi kumkatalia kuongeza mke, japokua kama ulivyosema hatua aliyochukua jamaa ni sio sahihi pia hata kidogo. Angempa talaka tuu.
Khe.! Hivi wanavyosemaga mnaoa kwa ridhaa ya mke wa kwanza huwa wanapuyanga? Unasemaje amekosea kukataa? Alivyoona mme ameenda kuoa kaepusha shari kaondoka sasa kosa lake nini. ?!
 
we jamaa acha kujitoa ufahamu. shamsuduni, aisha, ahmed haya majina ya dini gani? Ni mwislam mwenzako nini huyo jamaa.
Hapo mtabishana hadi asubuhi. We mkubalie tu kuwa hao ni wakristo kweli. Maana Ahmed, Aisha ni waislam mbon hata habari imeeleza. Hataki kukubali kwamba ndugu yao kapuyanga. Watu na imani zao😂
 
Kanda hiyo wengi wavuta bangi matukio ni daily
Acha chuki na ubaguzi wa kijinga. Manyara na bangi wapi na wapi. Km Hujafika sehemu bora ukae kimya. Kuna watu nchi hii akisikia ukanda fulani ni chuki tu. Hii nchi ni moja kwanini uchukie sehemu ya nchi yako? Hata hivyo mauaji haya yanatokea kila kona ya nchi. Nachukia mtu mbaguzi kwa msing wowote ule. Ukimwuliza Manyara ni wapi hata hapajui.
 
Manyara ndo vinara kwa mihadarati, bangi, ulevi na matukio ya kikatili kama hayo,, hutaki kufa
 
Kwenye kufanya makosa, vifuatavyo huwa vinasingiziwa sana;
1. Shetani
2. Ugonjwa wa akili
3. Pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…