briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Hata wakisusia, daftari tayari lina wapiga zaidi ya 25M na zishaingia kwenye hesabu tayari.I wish watanzania wasusie huu utapeli unaoitwa kuchagua viongozi, bora kila mtu kujiongoza mwenyewe tu kuliko hizi porojo na utapeli wa chaguzi.
Sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kutoa matusi makali kiasi hicho mkuu mpaka unavuka msitali unamuingiza mama wa mtu. Tu heshima wazazi wa mtu mwingine kama wewe unavyo waheshimu wazazi wakoChadema walikutombea mkeo au mama ako? Mbona unawaandama sana tena hata thread haiwahusu.
Whatever, but ukweli wanaujuaHata wakisusia, daftari tayari lina wapiga zaidi ya 25M na zishaingia kwenye hesabu tayari.
Ndo wamepeleka nyama?Chadema 🐼
ShowoffHivi kwani wamesema wana njaa?
Ndio maana mwamko wa kujiandikisha umeshuka sana, imebidi tuweke majina tu kutoka hewani, sasa tuna wapiga kura 32M. Yaani twende au tusiende kupiga kura, utaambiwa waliojitokeza ni 90% ya waliojiandikisha.Whatever, but ukweli wanaujua
Hata wakati wa sensa walipelekewa nyama pori ya kutosha sana. Baada ya hapa watasubiri tena hadi mwakani ndio wakumbukwe. Washamaliza nyani wote kwa uwindaji, miaka si mingi wataanza kula matembele na majani ya maboga.Huyu mama anapenda sifa sn
aise mbona kazeeka kuliko sa100Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado yanategemea uwindaji na kuokota matunda na asali ambapo amewahimiza kujiandikisha katika daftari la makazi ili waweze kuchagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Soma Pia: Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu aamua kutembelea ofisi mbalimbali kuhamasisha Watu wakajiandikishe katika Daftari la Kupiga Kura
Sendiga alifika katika kijiji hicho kilichopo kata ya Yaenda Chini wilayani Mbulu akiwa na zawadi ya kitoweo cha nyama ya nyumbu ili kushawishi jamii hiyo kuwa na utulivu wa muda kujiandikisha katika daftari la makazi kabla ya zoezi hilo kufikia ukomo Oktoba 20 ili waweze kushiriki katika katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia amewata kushiriki kuwachagua viongozi wa jamii yao wenye uwezo wa kuwaongoza kuharakisha juhudi za maendeleo katika eneo lao wakati wa uchaguzi huo.
Wakizungumza kwa niaba ya wenzao baada ya kupokea zawadi hiyo na ujumbe wa kujiandikisha, Salum Joseph Duduqwe na Zuberi Mathayo wamemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuwathamini kwa kuwatembelea, ambapo wamemweleza kuwa asilimia kubwa tayari wameshajiandikisha na wameahidi kuendelea kuwashawishi wengine ambao bado wakajiandikishe kabla ya zoezi hilo kufikia ukomo.
Wasije tu wakaanza kula binadamu aiseeHata wakati wa sensa walipelekewa nyama pori ya kutosha sana. Baada ya hapa watasubiri tena hadi mwakani ndio wakumbukwe. Washamaliza nyani wote kwa uwindaji, miaka si mingi wataanza kula matembele na majani ya maboga.
Hawawezi mkuu, ni watanzania wenzetu jamii ya wafugaji. Serikali ingekuwa inawaruhusu kipindi cha uwindaji wanapelekewa nyumbu wa kutosha. Watu wenyewe si wengi (1300 tu)na nyumbu hujaa na kufurika Serengeti.Wasije tu wakaanza kula binadamu aisee
Wale vyakula vya kawaida bhanaHata wakati wa sensa walipelekewa nyama pori ya kutosha sana. Baada ya hapa watasubiri tena hadi mwakani ndio wakumbukwe. Washamaliza nyani wote kwa uwindaji, miaka si mingi wataanza kula matembele na majani ya maboga.
Sema kwa sababu wako wachache, nyama pori hawawezi kosa, labda miaka ya mbeleni. Itabidi pia wawe wafugaji wazuriWale vyakula vya kawaida bhana
Na sisi wa Iringa hatuendi hadi tuloetewe ulanzi